Chapati ni chakula cha anasa kenya?

unanikumbusha Westland...Nairobi utasikia nipatie "chapaa mandondo"
bongo tunasema "chapati maharage"

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh its either sijui kenya,but westland kweli mtu anaeza order chapai na mandondo ama what do you mean by westlands?ama ume generalise juu westi ni hotels kubwa ,una expect mkenya anaishi westi ,mhindi ama mzungu aende kubuy chapati mandondo ,acha kutupima
 
Kumbe Kenya itajaa vibada vya chips kama bongo kwetu mbona nasikia wakenya wakituponda kuwa tunakula chips na Maindi choma Kwa ndimu
Wacha wajinga wajifurahishe.

Huku mtu akitaka kuanzisha startup ya foodkiosk, yaani Kibanda. Chakula cha kwanza huwa aidha chapati ama chipsi. Sasa wewe nieleze, chakula kama hicho kitakuwaje cha anasa? Hivi mleta mada anajua maana ya anasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata westy kuna chapo dondo, kuna ubaya wa kula chapo dondo? food is choice, thats why others eat catepillars as a delicacy,snakes.Kam nikuzungushe westy places mob unaeza wai chapo dondo.
 
Ata westy kuna chapo dondo, kuna ubaya wa kula chapo dondo? food is choice, thats why others eat catepillars as a delicacy,snakes.Kam nikuzungushe westy places mob unaeza wai chapo dondo.
 
Don't say we Kenyans ni wewe ndio hujui labda watoka mkoa wa Nyanza ambao hawazungumzi Kiswahili lakini wakenya Kiswahili wanakielewa Sana maana ndio lugha ya taifa sasa usimchukulie kila mkenya venye upo na Kwa taarifa yako Mimi si mtanzania .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iko very diffrent tu sana ,so mtanzania akitext mi hu assume tu na join 2/3 words na assume tu what the sentence is about
We unaona utofauti maana hujui Kiswahili ungekielewa hungeona utofauti ,na kama hujui kitu usijumuishe watu wote Kwa kundu lako nyie ndio watu mnakuja humu kututia aibu kama nchi ,shame on you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.

Hii ikoje wakenya???
Kwani kuku ni kitoweo cha anasa Tanzania?
 
Ilitakiwa iwe hivi Chapati kwa Kenya ndicho chakula pendwa

Yes wenzetu wanapenda Chapoo na Chipsi na Ketchup wa wale wadada , then kuna kitu kinaitwa sima na sukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…