Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
iko very diffrent tu sana ,so mtanzania akitext mi hu assume tu na join 2/3 words na assume tu what the sentence is about
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iko very diffrent tu sana ,so mtanzania akitext mi hu assume tu na join 2/3 words na assume tu what the sentence is about
unanikumbusha Westland...Nairobi utasikia nipatie "chapaa mandondo"Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.
Hii ikoje wakenya???
Eeh its either sijui kenya,but westland kweli mtu anaeza order chapai na mandondo ama what do you mean by westlands?ama ume generalise juu westi ni hotels kubwa ,una expect mkenya anaishi westi ,mhindi ama mzungu aende kubuy chapati mandondo ,acha kutupimaunanikumbusha Westland...Nairobi utasikia nipatie "chapaa mandondo"
bongo tunasema "chapati maharage"
Sent using Jamii Forums mobile app
haha dope"Mama amekalia baba chapati"...
Nani hapa ashawahi kula chapati Rolex?
Ndio chapaa matumbo sio??unanikumbusha Westland...Nairobi utasikia nipatie "chapaa mandondo"
bongo tunasema "chapati maharage"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wajinga wajifurahishe.
Huku mtu akitaka kuanzisha startup ya foodkiosk, yaani Kibanda. Chakula cha kwanza huwa aidha chapati ama chipsi. Sasa wewe nieleze, chakula kama hicho kitakuwaje cha anasa? Hivi mleta mada anajua maana ya anasa?
Ata westy kuna chapo dondo, kuna ubaya wa kula chapo dondo? food is choice, thats why others eat catepillars as a delicacy,snakes.Kam nikuzungushe westy places mob unaeza wai chapo dondo.Eeh its either sijui kenya,but westland kweli mtu anaeza order chapai na mandondo ama what do you mean by westlands?ama ume generalise juu westi ni hotels kubwa ,una expect mkenya anaishi westi ,mhindi ama mzungu aende kubuy chapati mandondo ,acha kutupima
Ata westy kuna chapo dondo, kuna ubaya wa kula chapo dondo? food is choice, thats why others eat catepillars as a delicacy,snakes.Kam nikuzungushe westy places mob unaeza wai chapo dondo.Eeh its either sijui kenya,but westland kweli mtu anaeza order chapai na mandondo ama what do you mean by westlands?ama ume generalise juu westi ni hotels kubwa ,una expect mkenya anaishi westi ,mhindi ama mzungu aende kubuy chapati mandondo ,acha kutupima
Don't say we Kenyans ni wewe ndio hujui labda watoka mkoa wa Nyanza ambao hawazungumzi Kiswahili lakini wakenya Kiswahili wanakielewa Sana maana ndio lugha ya taifa sasa usimchukulie kila mkenya venye upo na Kwa taarifa yako Mimi si mtanzania .Thats what i grew up listening too ,nikama kulaumu mzungu kuongea kizungu na alizaliwa akapata wakiongea ivyo,so pia si kenyan tulizaliwa na tukapata hio 'vilugha' as you call it,n i thank God coz its a good language and it makea me kenyan,coz nikikam Tz watajua immediately am not Tanzanian atleast hio lugha ilileta diffrence yetu na yenu,imagine ka mtu hangeweza juwa diffrence ya mkenya na mtanzania?ingekuwa nasty
We unaona utofauti maana hujui Kiswahili ungekielewa hungeona utofauti ,na kama hujui kitu usijumuishe watu wote Kwa kundu lako nyie ndio watu mnakuja humu kututia aibu kama nchi ,shame on you.iko very diffrent tu sana ,so mtanzania akitext mi hu assume tu na join 2/3 words na assume tu what the sentence is about
Neno mandondo sio la Kiswahili ila limetoka ukikuyuni maharage ndio neno tunalitumia tu hapa Kenya.unanikumbusha Westland...Nairobi utasikia nipatie "chapaa mandondo"
bongo tunasema "chapati maharage"
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa hiloNeno mandondo sio la Kiswahili ila limetoka ukikuyuni maharage ndio neno tunalitumia tu hapa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.
Hii ikoje wakenya???