Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Twapenda Sana sima,ila ukitumia neno Kwa Kaka zetu watanzania kidogo litawachanganya maana wanatumia Sana neno ugali.Ilitakiwa iwe hivi Chapati kwa Kenya ndicho chakula pendwa
Yes wenzetu wanapenda Chapoo na Chipsi na Ketchup wa wale wadada , then kuna kitu kinaitwa sima na sukuma
shida moja mapishi ya mandondo, supu na wali sio mazuri ukilinganisha na Tz
Afu kipo hichi chakula kule kwetu twakipenda Sana hasa kutengeza mchuzi.
Inategemea na mpishi na penye umenunua watanzania wanafanya yanashikana huku kwetu ni tofauti ni tofauti kidogo.shida moja mapishi ya mandondo, supu na wali sio mazuri ukilinganisha na Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
napapenda sana mkuu, Westland ni best place East Africa nzima hakuna kama hapo
Kabla ya kufungua uzi kwann usifikirie walau kidogo?mbona wali kwenye sherehe unapikwa Kwani mtaani haupikwi kila kona?Au wali nao ni anasa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
sio sehemu zote, kuna sehemu chapoo zao bomba sanaChapati yao ngumu kama gazeti haina ladha japo kuna wengine wanapika vizur...but ni chakula chip kushinda vyote
Mimi nadhani nii utamaduni tu!Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.
Hii ikoje wakenya???
sitabishana ma wewe westy ni place moja,lakini ukisema westlands ni kubwa,lakini westy hakuwa mkahawa my friend,acha kutupima hapa,ndo maana nimesema maybe westlands coz kikuyu pia iko westlands na many other places,but huku si usema westland kumean westyAta westy kuna chapo dondo, kuna ubaya wa kula chapo dondo? food is choice, thats why others eat catepillars as a delicacy,snakes.Kam nikuzungushe westy places mob unaeza wai chapo dondo.
buda its either you stupid ama you acting,no kenyan knows swahili we mix english na swah,mayne coast atleast ndo wako sawa kiswahili na pia swahili yao si ya ujinga ka yenu ,and am not from nyanza buda am from Nai,kenya ni kubwa kwani unajua nyanza tu,fucking tanzanian acting like unajua kenya,na unaonanga kwa tv,kuna watu kenya hawajui kiswahili,juu kuna shule huku hazifunzi kiswahili,nigga this is kenya ,mbna tujue kiswahili?kitu muhimu ni bora tu communicateDon't say we Kenyans ni wewe ndio hujui labda watoka mkoa wa Nyanza ambao hawazungumzi Kiswahili lakini wakenya Kiswahili wanakielewa Sana maana ndio lugha ya taifa sasa usimchukulie kila mkenya venye upo na Kwa taarifa yako Mimi si mtanzania .
Sent using Jamii Forums mobile app
Buda you not kenyan shut up,na nimeendaWe unaona utofauti maana hujui Kiswahili ungekielewa hungeona utofauti ,na kama hujui kitu usijumuishe watu wote Kwa kundu lako nyie ndio watu mnakuja humu kututia aibu kama nchi ,shame on you.
Sent using Jamii Forums mobile app
true but we call it ugali na sukuma haha its famous dish kwanza western parts of kenyaIlitakiwa iwe hivi Chapati kwa Kenya ndicho chakula pendwa
Yes wenzetu wanapenda Chapoo na Chipsi na Ketchup wa wale wadada , then kuna kitu kinaitwa sima na sukuma
buda what is this and who eats this?hata Taita sujai ina hii dish,maybe coconut but what are the rest?kwani we unasema umetoka kenya,umetoka wapi?reallyAfu kipo hichi chakula kule kwetu twakipenda Sana hasa kutengeza mchuzi.View attachment 1037500
Sent using Jamii Forums mobile app
haha westland ni kubwa kuna part ya pesa na the other part,though most times watu wakisema westy wao humean ,westy kwenye pesanapapenda sana mkuu, Westland ni best place East Africa nzima hakuna kama hapo
Sent using Jamii Forums mobile app