Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Sijamtusi mtu hilo neno ni typing error tu usichukulie kivingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamtusi mtu hilo neno ni typing error tu usichukulie kivingine.
first of all have never been to that place secondly am from donny,and kitu ingine am sure we si mkenya 100% umesema maybe am from nyanza nigga my last names are mumo wangeci ushaiskia mjaka anitwa ivyo,enyewe we si mkenya,ni mdomo tu unapiga sema ushaitembea kenya but we si mkenya,whi doesnt know kenya hawajui swahili,hata sisi huku tunajua TZ wanajua swahili kutuliko no debate hapoNo Kenyan knows Swahili? This is really sad. did you say you are from Nairobi? Indigenous wa Nairobi sio makaa kama wewe,sasa wewe mtu wa kariobangi Kiswahili utakijulia wapi,unachokijua nikupiga watu ngeta, unapokuja hapa kusema wakenya hawajui Kiswahili hilo nikuonesha ulivyo mpumbavu tu ila sina muda wako ewe kilava.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie, hawa watu ambao wanazaliwa katika kipindi hichi cha magufuli na Uhuru wanajifanya wajuaji ila hamna wanachokielewa.Kiswahili ni kiswahili, wewe sema hujui Kiswahili vizuri. Anasa ni neno la Kiswahili lilo rasmi kabisa. Nai Kiswahili kimechezewa na kutokea kwa lugha ambayo ni ya kimtaa. Bahati mbaya itabaki kutumika ki kimtaa (Mostly Wakora na machokoraa) milele kwa sababu haiwezi fundishwa mashuleni wala kutumika kwenye sehemu rasmi. Mimi nimekutana na wakenya wanao jua Kiswahili ila bado utawatambua kwa matamshi yao kwahiyo hoja yako ya kujivunia kuto jua Kiswahili fasaha ili utambulike kuwa ni Mkenya haina mashiko. Ata Tz tunajuana maeneo tunayotoka kwa kusikiliza tu matamshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Comment nzuri sana hili.Kiswahili ni kiswahili, wewe sema hujui Kiswahili vizuri. Anasa ni neno la Kiswahili lilo rasmi kabisa. Nai Kiswahili kimechezewa na kutokea kwa lugha ambayo ni ya kimtaa. Bahati mbaya itabaki kutumika ki kimtaa (Mostly Wakora na machokoraa) milele kwa sababu haiwezi fundishwa mashuleni wala kutumika kwenye sehemu rasmi. Mimi nimekutana na wakenya wanao jua Kiswahili ila bado utawatambua kwa matamshi yao kwahiyo hoja yako ya kujivunia kuto jua Kiswahili fasaha ili utambulike kuwa ni Mkenya haina mashiko. Ata Tz tunajuana maeneo tunayotoka kwa kusikiliza tu matamshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
atleast umejisema,so please acha kuongea vitu hujui about kenya,tafadhali,respect broI would rather be a Tanzanian than call myself a Kenyan from Luo Nyanza full of jakadala disease.
Sent using Jamii Forums mobile app
Any kenyan here???nani hukula this kinda food,acha kunipima bro,peleke utanzania hukoThat is octopus,ama pweza we kama huli wapo wanaokula ,we sijui unatoka west pokoti ama turkana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usianze kunichamba babu, mbona natoa tu point humu ? Sikuhizi nawe una maneno kweli.Kwa mara ya kwanza umetoa point toka umezaliwa, ungekua upo bongo ninge kuita sehemu upate moja baridi moja moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
haha hajui hate speech ni nini,maybe u translate to swah,coz hii ni hate speech,i think JF wanfaa kufilter hii baze juu hate speech haifai kuwa entertainedHii Sasa ni hate speech....
Mi hupenda kuskiza kugha ya mkenya, na enjoy matamshiThats what i grew up listening too ,nikama kulaumu mzungu kuongea kizungu na alizaliwa akapata wakiongea ivyo,so pia si kenyan tulizaliwa na tukapata hio 'vilugha' as you call it,n i thank God coz its a good language and it makea me kenyan,coz nikikam Tz watajua immediately am not Tanzanian atleast hio lugha ilileta diffrence yetu na yenu,imagine ka mtu hangeweza juwa diffrence ya mkenya na mtanzania?ingekuwa nasty
Hahaha enyewe ww ni mtanzania tu,wapi watu hukula sambusa ya maharagwe!sijui mayai enyewe hizo ni za wapi?coz iys definitely not kenyan dish
Labda moja baridi na mishkaki ya nyama ya mbuzi.Kwa mara ya kwanza umetoa point toka umezaliwa, ungekua upo bongo ninge kuita sehemu upate moja baridi moja moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
peleka utanzanj huko,i hate when pple here act kenyan and its clear to see they not,,,,ww umetoka sijui arusha hivi,and kunashida kuzaliwa time ya kenyatta?juu ww ulizaliwa time ya jomo kenyatta umesaidia nini kenya?Mwambie, hawa watu ambao wanazaliwa katika kipindi hichi cha magufuli na Uhuru wanajifanya wajuaji ila hamna wanachokielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dogo hakuna anachokifahamu.Westie kuna vibanda za mahustler. Niulize nikuambie
[emoji106] bro naskia nikushkie whisky hivi,i like you bro,ahsanti kwa kuwa na good vibe[emoji120]
Call a spade a spade, go right now to migori jakadala is killing people, saying that is a hate speech?Hii Sasa ni hate speech....
Ni mchanganyiko wa kiingereza na kiswahili . Tatizo najua wewe hukifahamu kiingereza kwa hivyo unaninginia tu hewani.
We acha uboya , sabusa ndo nini au unamaanisha sambusa?Wakenya wao hupenda sabusa sana sana.
Kuna sabusa za njugu karanga
Sabusa za maharage
Sabusa za dengu
Sabusa za njegere
Sabusa za mayai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo basic ina include neno "anasa" ambalo wewe kwa kutokujua kiswahili basic limekupiga chenga. Ofcoz kila mtu anataka kuja Kenya kwa sababu unemployment rate iko chini, hamna issues za kigaidi, vivutio vingi vya kitalii including Mt Kilimanjaro, amani na political stability, chakula cha kutosha, madini na ardhi kubwa yenye kustawisha kila aina ya mimea... the list is endless. Ata mimi nina ongeza ujuzi wa lugha ya Kiswahili ili nije Kenya niweze kuwasiliana na wewe [emoji23]hata afunzwe kiswahili atajua tu ile basic yenye kila mkenya anajua and FYI wanajifunza swahili juu wanataka kuja kenya and they know swahili is from kenya and thats why wako eager kusoma and si lazima nijue kiswahili sanifu bro,kenya we have our own swahili
Ni mwezi mmoja tu ukiwa hapa ila nitakuomba tu upunguze spidi usitwaibishe kama hujui kitu unanyamaza sio lazima uchangie.atleast umejisema,so please acha kuongea vitu hujui about kenya,tafadhali,respect bro