Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Ushaanza kutuambukiza kikenya, yaani nikisoma bango lako nalisoma kikenya kenya ndo nakupata...aku nakuelenya enye nasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama kuna Mtz kutoka moyoni anaweza kumwona mkenya yuko chini kwa kua hajui Kiswahili! ila anaeweza mtania tu. Wa Tz kitu ambacho nicha kushangaza tunaweza chekana kwa kutojua kizungu ila siyo Kiswahili. Mabalozi kutoka karibu nchi zote siku hizi wana jifunza Kiswahili au wanakuja tayari wanakijua. Kwenye functions huwa wana toa hotuba kwa kusoma Kiswahili, wanakosea sana ila watu huwa hawa wezi cheka. Mimi sijawahi ona mtu akichekwa kisa hajui Kiswahili hiyo siyo desturi ya wa Tz, uliza wakenya wenzako walio wahi kuja Tz. Ila nachojua mimi Wakenya wa pwani wana wacheka wakenya wa Bara wakiongea Kiswahili ambacho hakijanyooka. Mademu wa pwani ya Kenya kama hujui Kiswahili vizuri unakua umejishushia marks hili nina ushahidi nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mchanganyiko wa kiingereza na kiswahili . Tatizo najua wewe hukifahamu kiingereza kwa hivyo unaninginia tu hewani.
Issue sio kiswanglish ila ni viunganishi kwenye sentensi...enye, iko...nk ndo utamu wa lafudhi ya wakenya. I like it
Mi hupenda kuangalia tamthilia za wakenya ili nisikie ladha ya lugha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just Google jakadala you will see what is happening in migori,,it's no joke my friend and am not a tribal hatemonger I speak my mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akuna jakadala na wewe...plus I come from Nyanza migori county kwa border ya kenya na tz so kiswahili tunaitambua vizuri tunaeza ongea both dialects ya kenya na ya TZ.I prefer kenyan one, jakadala was a hoax
 
Mapishi hutofautiana,ata mapishi ya mkeo ma mama yako yana tofauti kubwa.Sisi Kenya maungo si lazima yawe kama TZ. Nimewai Kufika Musoma nikapata watu huko wanakula Wali kwa Dagaa nilishangaa maana kwetu Kuria Kenya sijaona mambo kama hayo niliagiza mimi nipewe Ugali maanake mimi mambo ya wali kwa dagaa hapana.
Tembo ya Tz pia sio mbaya mimi hupenda balimi afu cha kushangaza wanawake huko kunywa pombe si ishu hata vijijini.
 
Akuna jakadala na wewe...plus I come from Nyanza migori county kwa border ya kenya na tz so kiswahili tunaitambua vizuri tunaeza ongea both dialects ya kenya na ya TZ.I prefer kenyan one, jakadala was a hoax
Kule Kwa migodi iliisha? Unajua wewe upo upande wa sirare,jaribu kule Kwa akina junet. Bado ipo ,watu hawali bata kama ilivyo desturi ya watu wa migori. Wakuria kule kwenu kupo Sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wanachanganya mpaka unahisi kutapika watakupa wali wameeka dagaa , maharage na njegere pia eti ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…