Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

Kombucha iko tyr kwa ajili ya mbegu..Nakuuzia mbegu na maelekezo jinsi ya kutengeneza juice yake!! Karibu, gharama yake ni 50,000/=

utaweza kutengeneza hadi lita 20
Nyie ndio mnaofanyia biashara afya za watu. Huna namna ya kuingiza pesa then suala la afya tufanye Kama Asia wanavyoishi. Hapa walipewa free from uchina.
Yaani wewe ndio nyie
 
Nyie ndio mnaofanyia biashara afya za watu. Huna namna ya kuingiza pesa then suala la afya tufanye Kama Asia wanavyoishi. Hapa walipewa free from uchina.
Yaani wewe ndio nyie
Punguza makasiriko mkuu wangu....mwenyewe sijapata bure kama huna hela njoo DM nikupe bure.
 
Huu mmea sidhani kama una mbegu, kinachofanyika ni kuwa kila unapotanuka ukikata kipande na kutia kwenye maji na chenyewe kinakua, kwahiyo cha muhimu ni kufanya timing kila unapokaribia kucover eneo lote la chombo chako unakata kidogo unatumbukiza kwenye chombo kingine chenye maji. Kifupi sijui kama kuna mbegu na sijui unapatikana wapi, ila hata mimi niliwahi kupewa na rafiki, nikakaa nao karibu miezi 2, nikajisahau ukawa ndio mwisho wake.
Hizo ni fungus kama ilivyo kwenye uyoga.
 
Back
Top Bottom