Huu mmea sidhani kama una mbegu, kinachofanyika ni kuwa kila unapotanuka ukikata kipande na kutia kwenye maji na chenyewe kinakua, kwahiyo cha muhimu ni kufanya timing kila unapokaribia kucover eneo lote la chombo chako unakata kidogo unatumbukiza kwenye chombo kingine chenye maji. Kifupi sijui kama kuna mbegu na sijui unapatikana wapi, ila hata mimi niliwahi kupewa na rafiki, nikakaa nao karibu miezi 2, nikajisahau ukawa ndio mwisho wake.