Chapuo kwa Young Dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na Lulu

Mwanzisha thread unatoambwa mkuuduni na wachawi hicho ndo cha kutueleza sisi
usitukane , haipendezi bana. jiheshimu we mtu mzima, wala hata siku report maana nikibonyeza tu report abuse unapata ban.
Jiheshimu
 
kweli bhana hujamuweka DOGO JANJA hujamtendea haki na yeye...
 

halafu huyo jamaa si amekwishasema hilo jina la "dogo" halitaki?
 

Peleka matope yako arabuni huko wakayatifue…!!pumbavu
 
Huyo binti labda ateuliwe viti maalumu kwa ajili kuwastarehesha waheshimiwa sana huko mjengoni....
 
Sheria za kuwa mbunge kweli zimelegalega sana yaani kujua kusoma na kuandika tu!!!
 
Sheria za kuwa mbunge kweli zimelegalega sana yaani kujua kusoma na kuandika tu!!!

hao maprof na wanasheria waliobobea akina chenge wameifanyia nini nch hii ? zaidi ya kuilangua nch kwa vipande vya dhahabu na vijisenti, bora ya akina mkwawa waliokuwa hawajui hata kuandika wala kusoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…