Chapuo kwa Young Dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na Lulu

Mwanzisha thread unatoambwa mkuuduni na wachawi hicho ndo cha kutueleza sisi
usitukane , haipendezi bana. jiheshimu we mtu mzima, wala hata siku report maana nikibonyeza tu report abuse unapata ban.
Jiheshimu
 
kweli bhana hujamuweka DOGO JANJA hujamtendea haki na yeye...
 
Mwaka 2013 pale nchini Uganda, Proscovia Oromait aliweka rekodi ya kuwa The Youngest MP in the World baada ya kuchaguliwa akiwa na miaka 19 tu.

Sasa basi huu ni wakati muafaka wa vijana wetu macelebrity, nazungumzia washkaji zake Le Mutuz yaani Young dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na LULU kugombania Ubunge. They are energetic na watasaidia sana kutetea vijana, najua wengine mtakuja na blah blah za elimu lakini msisahau sifa ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu.

Vijana ni taifa la leo sio kesho, tuwasapoti maceleb wetu.

halafu huyo jamaa si amekwishasema hilo jina la "dogo" halitaki?
 
Mwaka 2013 pale nchini Uganda, Proscovia Oromait aliweka rekodi ya kuwa The Youngest MP in the World baada ya kuchaguliwa akiwa na miaka 19 tu.

Sasa basi huu ni wakati muafaka wa vijana wetu macelebrity, nazungumzia washkaji zake Le Mutuz yaani Young dee, Young Killer Msodoki, Dogo Aslay na LULU kugombania Ubunge. They are energetic na watasaidia sana kutetea vijana, najua wengine mtakuja na blah blah za elimu lakini msisahau sifa ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu.

Vijana ni taifa la leo sio kesho, tuwasapoti maceleb wetu.

Peleka matope yako arabuni huko wakayatifue…!!pumbavu
 
Huyo binti labda ateuliwe viti maalumu kwa ajili kuwastarehesha waheshimiwa sana huko mjengoni....
 
Sheria za kuwa mbunge kweli zimelegalega sana yaani kujua kusoma na kuandika tu!!!
 
hao maprof na wanasheria waliobobea akina chenge wameifanyia nini nch hii ? zaidi ya kuilangua nch kwa vipande vya dhahabu na vijisenti, bora ya akina mkwawa waliokuwa hawajui hata kuandika wala kusoma!
 
Back
Top Bottom