Chaputa wote

Mi nasubiri show iishe nipande pipa nikaombe kazi ya kufagia huo ukumbi.

Unaweza kuniona mjinga napoteza nauli yangu bure. Nina maana yangu
Kwahiyo mzee unataka ukaombe kaz ya kuchezea pole ukistrip...pesa bana
 
Nilichokiona, ni zaidi ya sodoma, nimwendo wabkumwaga pesa na kupigana vidole card b atakua msagaji, ila ile clip yupo hotel kafungua dirisha mji mzuri sana ule nigeria wapo juu sana, sodoma ile
 
Alishasemaga story yake, kabla hajawa singer, ashawahi kua barmaid, akawa striper (Mcheza uchi kwenye makasino)...

Ndiyo akaamua kujingiza kwenye kuimba baada ya kujiona anaweza...



Cc: mahondaw
mm sioni maajabu naona kamiss ustripper wake maana ndio maisha yake hata nyimbo zenyewe anaandikiwa na offset sijawahi mkubali huyu mchumba na rap yake.
 
Queen wangu nicki asiache mziki maana huyu dada simpendi anajichetua sana
Ajui kumbia kelele kibao nandio maana akichawa na Queen Radio hawezi kujibu maana freestyle hawezi mpaka atungiwe na bwana wake ndio ajibu mapigo.
 
Reactions: amu
Hakika na anapenda sifa..kurap kwenyewe ovyo.
Yani na ghost writers wake ashukuru mungu upepo umegeukia kwake asisahau iggy azalea nae alihit sana ila alizima kimasihara ss hv anaimba ila haskiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…