Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mzee unataka ukaombe kaz ya kuchezea pole ukistrip...pesa banaMi nasubiri show iishe nipande pipa nikaombe kazi ya kufagia huo ukumbi.
Unaweza kuniona mjinga napoteza nauli yangu bure. Nina maana yangu
Hivi Hizo hela ni halali au yale macopy???hata mm nmehisi ivyo maana anafeel kabisa
pesa halali ya naija ileHivi Hizo hela ni halali au yale macopy???
😀😀😀Hana akili yule. Halafu niliskia kuwa yupo nigeria
Hatamimi nimeliona hilo, wakati anatoka club pale nnje kapafananisha na Disney huko marekaniKumbe naija ndo pako lit hvoo.. Bado bongo tu
Nimeenda kuangalia ni kweli Nigeria maana hata hela alizomwaga ni za nigeria.Nilisikia yupo huko
Halafu nasikia atakuwepo fast and furious ijayo
bado sm kadhaanow tumeikaribia sodoma na gomora kabisa
Ubaguzi huo sasa kwetu tusio na Accounts za IG.Mmepita kwenye insta story ya card B wakuu
Cardib yupo Nigeria ameenda club ya mastriper anamwaga pesa wadada wako watupu anawashikashika makalio anawabambia bambia..hayo ndiyo yaliyojiri mjini NigeriaqUbaguzi huo sasa kwetu tusio na Accounts za IG.
Tiririka tujue ndugu
mm sioni maajabu naona kamiss ustripper wake maana ndio maisha yake hata nyimbo zenyewe anaandikiwa na offset sijawahi mkubali huyu mchumba na rap yake.Alishasemaga story yake, kabla hajawa singer, ashawahi kua barmaid, akawa striper (Mcheza uchi kwenye makasino)...
Ndiyo akaamua kujingiza kwenye kuimba baada ya kujiona anaweza...
Cc: mahondaw
Queen wangu nicki asiache mziki maana huyu dada simpendi anajichetua sanamm sioni maajabu naona kamiss ustriper wake maana ndio maisha yake hata nyimbo zenyewe anaandikiwa na offset sijawahi mkubali huyu mchumba na rap yake.
Hakika na anapenda sifa..kurap kwenyewe ovyo.Queen wangu nicki asiache mziki maana huyu dada simpendi anajichetua sana
Ulimwengu mzima unafahamu hili
Ajui kumbia kelele kibao nandio maana akichawa na Queen Radio hawezi kujibu maana freestyle hawezi mpaka atungiwe na bwana wake ndio ajibu mapigo.Queen wangu nicki asiache mziki maana huyu dada simpendi anajichetua sana
Yani na ghost writers wake ashukuru mungu upepo umegeukia kwake asisahau iggy azalea nae alihit sana ila alizima kimasihara ss hv anaimba ila haskikiHakika na anapenda sifa..kurap kwenyewe ovyo.