Chaputa wote

Chaputa wote

[emoji23][emoji23][emoji23] Tena raha yake TMT huwa anawapost mastriper wake IG iliwatu waje club waburudike nawo.
Hivi stripper after hapo unaweza kua d**k down au kukulana ni nje ya offc maana kuna stripper wengine wa ke na me hua wanashow ya kukulana juu ya stage mwanzo mwisho
 
Sio ndugu lakini wamekulia pamoja na kusishi pamoja wamesoma pamoja tu lakini sio ndugu.
Sini uncle na cousin sio ndugu?! Yani quavo na take off ni uncle halafu quavo na offset ni ma cousin
 
Quavo alikuwa anampenda sana minaj tatizo Quavo sio muongeaji mwana nandio anajua kuimba kuliko kundizima na yy ndio waliwaweka Migos kwenye Industry.

Offset anasikika sana sababu za stunt zake na Cardi B...

Quavo anajua kuimba ila siyo mpole kivile, ana ana mashauzi yake kimtindo...

Mpole sana ni Take Off... Alafu anachana balaa... Kwa beat yupo, free style ndiyo hatari...

Kuwa na Nick Minaj yataka moyo... They should learn from Lil Wayne or Drake...


Cc: mahondaw
 
Hivi strippernafter hapo unaweza kua d**k down au kukulana ni nje ya offc maana kuna stripper wengine wa ke na me hua wanashow ya kukulana juu ya stage mwanzo mwisho
😂😂😂 sina uwakika kama unaweza ku do naye hapo hapo ila nachujua unaweza ukaongea naye mkamaliza mambo pembeni kama dance flow ikiwa na watu wengi lakini kuna wale stripe unaingia club alafu unamuita VIP room mko wenyewe tu pale unajitafunia tu bila hata shida 😂
 
Back
Top Bottom