Chaputa wote

Chaputa wote

[emoji23][emoji23][emoji23] unataka watu wale ban kwajili yako hakuna mjinga atakaye fanya kwajili yako.
Sio kwa ajili yangu wewe. Umegundua hilo kwamba vitu vikitupiwa hapa ni kwa ajili yangu?
 
kabla sijaanzisha huu uzi nilisearch kwanza kama tayari kuna hizi habari nikaona hakuna ndio nilaanzisha Hata mimi nashangaa kusikia upo uzi mwingine
Hakuna uzi mwingine tofauti na huu, now come back to the point unanisaidiaje kupata hicho kideo
 
Huu uzi ilibidi ujae pichaaaaa tupu maneno kidogoooo
 
Card be ni msagaj na zile pesa n dol ngap ngap maana ni nyingi
 
Nimesearch huo uzi sijaona. Umepostiwa jukwaa gani?
Entertainment kapost jukwaa hilo
Screenshot_20191208-000443.jpg
 
Back
Top Bottom