Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
nakuombea huu mwaka uishe na za uso tu[emoji1787]Kama hapa nishakula zangu zauso nimetulia tu nasubiria kesho itakuwaje napo [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuombea huu mwaka uishe na za uso tu[emoji1787]Kama hapa nishakula zangu zauso nimetulia tu nasubiria kesho itakuwaje napo [emoji23]
😂😂😂 acha roho mbaya we mwanamke.nakuombea huu mwaka uishe na za uso tu[emoji1787]
Inabidi ukonde kwanza uvurugike halafu ndo upewe kidogo hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] acha roho mbaya we mwanamke.
mm sio addicted kihivyo huwa kuna week na week naangalia nikiona ni match nzr nacheza kama mbovu hela yangu natoa sadaka tu church.Inabidi ukonde kwanza uvurugike halafu ndo upewe kidogo hahaha
Mwenye uzi wake ndio kaleta ukiwaki kapost pic tu.Wekeni picha au clip hapa mambo gani ya kutuletea mambo nusunusu
Unafeli kumbemm sio addicted kihivyo huwa kuna week na week naangalia nikiona ni match nzr nacheza kama mbovu hela yangu natoa sadaka tu church.
utaiona mkuu
Nafeli tena 🤔 kivp?Unafeli kumbe
Si unabet kwa kuoteaNafeli tena [emoji848] kivp?
😂😂 hakuna mtu anayependa kupoteza hela yake hovyo hovyo alafu hii bet huwa sitegemei nafanya nikijisikia tu.Si unabet kwa kuotea
Lete link mkuu tuishi nayo hiyo makituMmepita kwenye insta story ya card B wakuu
Kumbe [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Hao wa3 wote ni ndugu
hazidownloadi_ki
😂😂😂😂Woii mi nikadhani sega live kumbeee upuuzi
usijaliDaa rusha picha pm basi
Huko nipeleke mimi..nikajionee laanaUlimwengu mzima unafahamu hili
Halafu sijaona ajabu hapo
Wangeona zile club wanaingia uchi kudance nguo unaacha huko wangeongea nn wanajamii
Pandra nderege uendeee nduguHuko nipeleke mimi..nikajionee laana
NdioKumbe [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]