Chaputa wote

Chaputa wote

Ajui kumbia kelele kibao nandio maana akichawa na Queen Radio hawezi kujibu maana freestyle hawezi mpaka atungiwe na bwana wake ndio ajibu mapigo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule biashara atakayofanya ikamfaaa ni kufungua stŕip clubs basi auze na costume zao
 
Ulimwengu mzima unafahamu hili

Halafu sijaona ajabu hapo
Wangeona zile club wanaingia uchi kudance nguo unaacha huko wangeongea nn wanajamii

Hayo anayofanya ya kukaa uchi ndiyo maisha yake by professional alishasema...

Ndiyo maana amejitahidi kufanya plastic surgery ya almost kila kiungo...

Nyuchi yake ndiyo balaa, unona kabisa ya kubandika...



Cc: mahondaw
 
Ubaguzi huo sasa kwetu tusio na Accounts za IG.

Tiririka tujue ndugu
kazi ni kwako
InShot_20191207_152037134.jpeg
 
Yani na ghost writers wake ashukuru mungu upepo umegeukia kwake asisahau iggy azalea nae alihit sana ila alizima kimasihara ss hv anaimba ila haskiki
Tusubiri muda useme..atakuwa hana tofauti na shosti iggy
 
  • Thanks
Reactions: amu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule biashara atakayofanya ikamfaaa ni kufungua stŕip clubs basi auze na costume zao
😂😂😂😂 hapo amuone maywether ana club nyingi tu nauwakika atampa kazi huyu malaya
 
nazionagaa sana video zake wakishikana shikana na bwana wake kucheza tu ndio anajua ukienda kuangalia ile clout utaenjoy kuangalia lakini sio zile verse zake za kufokafoka tu masikioni

Ofcoz mirindimo anaiweza sana... tena sababu ya kujibadilisha umbile...

Ila kuimba anaonekana sababu ya back up from Migos au Offset...



Cc: mahondaw
 
Cardib yupo Nigeria ameenda club ya mastriper anamwaga pesa wadada wako watupu anawashikashika makalio anawabambia bambia..hayo ndiyo yaliyojiri mjini Nigeriaq
Duh! Kumbe tunapishana na mengi huko kwenye mji wa IG!
 
Back
Top Bottom