Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
Jumong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka jamaa alivyokuwa akili nyingi,eti leo kuna vijamaa wanafananisha characters wa prison break na wa hiyo nini sijui,aisee.Nilisha ambiaga huyu jamaa ndio angelua Pilisi wa hii series yao wanayo iita Money Heist angewakamata wote na proffesor wao in one episode
Dah,Ramsey kwrli mkuu..Darken Rahl - Legend of the seeker na
Ramsay Bolton - Game of thrones
View attachment 1951225View attachment 1951226
Nilisha ambiaga huyu jamaa ndio angelua Pilisi wa hii series yao wanayo iita Money Heist angewakamata wote na proffesor wao in one episode
Joey tribiani wa friends, danny crane name on the door Boston legalKwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi
Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani
Niambie wako alikua nani!?
Hahah ulimuelewa Glenn kwenye WD kuliko Rick [emoji23][emoji23][emoji23]The hound - game of thrones
Damon salvatore - tvd
Walt - breaking bad
Glenn rhee - walking dead
Huyu jamaa anafan wengi sana kila alie tazama BB lazima a mmention kama best Character wake aseeGustavo Frings
Na ukweli mchungu ambao watu wanaweza kuupinga ni kwamba, Alex Mahone ni genius kumzidi hata Michael Scofield mwenyewe!!Unakumbuka jamaa alivyokuwa akili nyingi,eti leo kuna vijamaa wanafananisha characters wa prison break na wa hiyo nini sijui,aisee.
Mahone fundi sana.
Halafu bado gentleman.
Klaus alikuwa Akianza kutisha watu "I will tear you from limb to limb"
ila ndo alikuwa most powerful Being
Hahahaha namfananisha na Pole Pole na Bashiru kwa siasa za bongoRobert Cknepper ( T-bag) wa prison break.... Huyu mwamba kwenye hii series nilimkubali sana!!!! Hana tofauti na viongozi wa Tanzania, jamaa ni kigeu geu kinoma yeye anafata upepo unapovuma
Kayafa yesu wa Lugola
Hii series skuielewaga kabisa...Kwanza old British English Yao sikuvibe nayo
Acha kabisa mkuu season 4 baada ya Governor kuvamia prison kuanzia 5 na 6 Rick Grimes alikua katili sana.Hahaha huyu mwamba mnyama sana mule yani
Hua ananikosha sana RICK
Hahaha kuna biti ali mpiga Negan(yule jamaa mwenye rungu anakera kuliko king Geofrey wa GOT) wakati kawekwa chini ya ulinzi na bonge la jeshi anambia "listen am gona kill you ,maybe not today tomorrow but i will kill you" haha mzingira alio kuwepo na ile confidence [emoji23][emoji23] hatari sanaAcha kabisa mkuu season 4 baada ya Governor kuvamia prison kuanzia 5 na 6 Rick Grimes alikua katili sana.
Nakumbuka opening ya Season 5 pale walipokutana na lile kundi la wale jamaa wanakula nyama za watu (cannibalism) aisee ile episode ya kwanza ni balaa tupu humo
Mzee wa Mahaba ya Ukweli....Amaury Nolasco a.k.a Fernando Sucre katika Prison Break