Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Nilisha ambiaga huyu jamaa ndio angelua Pilisi wa hii series yao wanayo iita Money Heist angewakamata wote na proffesor wao in one episode
Unakumbuka jamaa alivyokuwa akili nyingi,eti leo kuna vijamaa wanafananisha characters wa prison break na wa hiyo nini sijui,aisee.

Mahone fundi sana.
 
Sumbula wa sultan.hahahahah
Halafu mkute kwenye LODESTAR alivyo kauzu kama sio yeye.
 
Nilisha ambiaga huyu jamaa ndio angelua Pilisi wa hii series yao wanayo iita Money Heist angewakamata wote na proffesor wao in one episode

[emoji1787][emoji23][emoji23] angewakamata chap au sio, sema jamaa alikuwa anagundua clues mpaka alikuwa ananiboa
 
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi

Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani

Niambie wako alikua nani!?
Joey tribiani wa friends, danny crane name on the door Boston legal
 
Unakumbuka jamaa alivyokuwa akili nyingi,eti leo kuna vijamaa wanafananisha characters wa prison break na wa hiyo nini sijui,aisee.

Mahone fundi sana.
Na ukweli mchungu ambao watu wanaweza kuupinga ni kwamba, Alex Mahone ni genius kumzidi hata Michael Scofield mwenyewe!!
 
Halafu bado gentleman.
Klaus alikuwa Akianza kutisha watu "I will tear you from limb to limb"
ila ndo alikuwa most powerful Being
1_3CTE92CKwjjqWiH6aTQ_IA.png
 
Robert Cknepper ( T-bag) wa prison break.... Huyu mwamba kwenye hii series nilimkubali sana!!!! Hana tofauti na viongozi wa Tanzania, jamaa ni kigeu geu kinoma yeye anafata upepo unapovuma
Hahahaha namfananisha na Pole Pole na Bashiru kwa siasa za bongo
 
Hahaha huyu mwamba mnyama sana mule yani
Hua ananikosha sana RICK
Acha kabisa mkuu season 4 baada ya Governor kuvamia prison kuanzia 5 na 6 Rick Grimes alikua katili sana.

Nakumbuka opening ya Season 5 pale walipokutana na lile kundi la wale jamaa wanakula nyama za watu (cannibalism) aisee ile episode ya kwanza ni balaa tupu humo
 
Hahaha kuna biti ali mpiga Negan(yule jamaa mwenye rungu anakera kuliko king Geofrey wa GOT) wakati kawekwa chini ya ulinzi na bonge la jeshi anambia "listen am gona kill you ,maybe not today tomorrow but i will kill you" haha mzingira alio kuwepo na ile confidence [emoji23][emoji23] hatari sana
 
Back
Top Bottom