ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Inawezekana YesHili jambo ni pana
Mtu anaweza kuwa mwema ila wewe ukamfanya awe mbaya na ukamwona mbaya siku zote pasipo kujua ni wewe ulimfamya awe hivyo.
Hapa unataka kusemaje?Wabaya ndio haohao hutenda wema
Kwenye miti hakuna wajenziKuna picha naitafuta hapa ili isindikize huu uzi ila siuoni...๐
ExactlyInawezekana Yes
Ukimtendea mtu mabaya akashindwa kusamehe na kuamua kulipa kwa nguvu ile ile kulingana na matendo yako lazima utamuona mbaya tu
Hapa ni changamoto,.Halafu ukijipima wewe mwenyewe, kwa tabia zako za ndani na nje unajiona upo upande gani?
Huwezi kupata jibu la moja kwa moja,Maana yangu ni kua
Je mtu akifanya nini?
Au akiwa na tabia zipi
unaweza kusema huyu ni mtu mwema au ni mtu mbaya
Kivumbii๐คฃ๐คฃUkiweka goti naweka ugoko , ubaya ubwela
Upo sahihiHapa ni changamoto,.
Uzuri ni kwamba nafit kotekote... Kwa wema nakua mwema na kwa wabaya nakua mbaya kweli kweli ..
Itoshe kusema watu na mazingira huwa vinanichangia kubadilika badilika
Hapo sasa ndio hamna anaeweza kunipangia maana huwa najibu mashambulizi 10x ya ubaya ulionifanyia,.Upo sahihi
Ila hakikisha wakati unaliza ubaya kwa ubaya huwagusi wasiohusika nao
Ni sawa lakini kila mtu anaHuwezi kupata jibu la moja kwa moja,
Ni kama Kisu tu,ukikitumia Jikoni kukatia mboga,kitakua ni kizuri ila ukikitumia hicho hicho Kisu kwa kuua mtu,kitakua ni kibaya,
ExactlyYou have to observe their consistent behavior rather than just their words.
Asante na karibu tenaHapo sasa ndio hamna anaeweza kunipangia maana huwa najibu mashambulizi 10x ya ubaya ulionifanyia,.
Suala la kuwa ataumiaje au ataumia yeye na Nani hilo atajua mwenyewe ๐๐
Hawa sasa ndio wakali wa acting hakupi hata chance ya ku imagine ๐คฃ๐คฃExactly
Pia wapo manipulators ambao wanakuja kwa nyuso za uzuri na wema, ukiingia kingi wanapata walichofata unabaki kulia hii mbinu matapeli waliobobea pia hutumia.
Mtu anakuja kwako anawezekeza milioni 3 ila anaondoka na 20m pasipo nguvu kubwa bali wema kidogo unaweka imani nyingi kumbe ana kuset๐๐๐
Ni jino kwa jino sio๐Hakuna wema bila ubaya ,na hakuna ubaya bila wema, binafsi mimi ni mtu mbaya kwa wabaya na mwema kwa watu wema.
Mbona hua unaandika vizuri sana tuShesRise_1 please nakuomba uje pm unifunze namna ya kuandika nyuzi...
Huwa nina kuwa na mawazo mengi sana ila uandishi sasa ni kipengele na wengi hawanielewi maana halisi ya kile nacho kiandika
Exactly hapo umekuja vizuri inabidi ukubali uhalisia kisha ujenge hoja na sio kukwepaHoja zangu sio sheria
Mtu anaweza kua mbaya kwa sababu ya trauma au mapito yake ndio
Lakini hii haiwezi kuhalalisha yeye kua tendea wengine ubaya
Ndio maana kuna nafasi ya kupona nakubadilika
Huo wema au ubaya tuna uangalia kwa ile tabia yako kuu ukiacha mabadiliko madogo madogo ambayo karibia kila mtu anayoBTW ni nyuzi nzuri na tafakarishi sana hii
Ila mawazo yangu ni kuwa hakuna mtu mzuri au mbaya essentially.
Ni sahihi hata mtu mpolee akichokozwa lazima ata reactKila mtu ana mbingu na jehanam ndani yake.
Ni vile tu tunaendana na mbingu za watu fulani na kuvumilia jehanam zao. Hao ndo tunawaita wema.
Ila hata wale wabaya nao wana mbingu zao nzuri tu, sema jehanam zao hatuwezi kuzi handle
Shukran kaka karibu tenaExactly hapo umekuja vizuri inabidi ukubali uhalisia kisha ujenge hoja na sio kukwepa
Sikupingi bidada