binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Natania bana!Pole yako 🤣
Nilijua tu🤗Natania bana!
Bismillah MashaAllah 😍 rahaaaSijaambiwa nakupenda ila nimeulizwa hivi unajua kuwa nakupenda Binti kiziwi? leo saa 13:32 .
Ni kitu hiko hiko dear 🤗🤗Ni kitu hiko hiko au tofauti? Kuna kitu tulikuwa tunachat tunabishana, mie kwa ubishi…. Kaniambia hivyo ili nisimshinde 🤦🏻♀️
Tutakutambua kwa ile sifa iliyozidiInategemea kilichozidi ni kipi katika matendo hayo mawili. Haviwezi kuwa balanced lazima imma uzidi wema au uzidi ubaya lakini sifa zote hizo binaadamu anazo. Tutakutambua kwa ile sifa iliyozidi.
Kwenye ubishi niombee 🤦🏻♀️😂Nilijua tu🤗
Bismillah MashaAllah 😍 rahaaa
Ni kitu hiko hiko dear 🤗🤗
Punguza ka ubishi basi🫢
Nafunga tatu kavu kwa ajili yangu na wewe maana wewe ni twin wangu kwa tabia hiyo🤣Kwenye ubishi niombee 🤦🏻♀️😂
Na imagine unavyokua mbishi kwa fact 🤣🤣🤣Lakini nadhani ubishi ni my love language, mimi kama sikujali, hata ukosee sitakurekebisha, kimya kama sipo. I have 0 business telling someone i don’t care about what to do…
Ila kama nakujali, nikikuona kuna kitu unakosea tutaparangana mnooo.
Allah atufanye tuwe wenye kuwa na wema zaidi kuliko ubaya InshaallahTutakutambua kwa ile sifa iliyozidi
Asante mkuu karibu tena
Amin Ya Rabb 🤲Allah atufanye tuwe wenye kuwa na wema zaidi kuliko ubaya Inshaallah
Ukiingia (kama utaweza)kwa undani zaidi (4th Window) usishangae kugundua kwamba kuna characters mtu fulani anazo lakini hata yy mwenyewe hajijui kwamba anazo. e.g. mtu mbeya, ni mpaka pale inapotokea anaambiwa na wenzake kwamba unayo tabia ya kutoa maneno huku na kupeleka kule jambo ambalo linafitinisha watu. Ila yy atakataa katakata kwa sababu yy anaona huwa ni mazungumzo/story za kawaida za kijiweni.Upo sahihi si katai kumfanyia utafiti mtu tena ule wa kina kama unavyosema ni kweli ndio utaweza kumfahamu zaidi
Japo pia ni ngumu kumjua in deep
Ila mazingira yanaweza kumfanye uhalisia wake wa ndani anaouficha au oneshe njee
Hat
Pia usisahu kila mtu ana tabia yake kuu inayomtambulisha
Hiyo character ya umbeya mtu mwenye nayo hujijua kabisa tena vizuriUkiingia (kama utaweza)kwa undani zaidi (4th Window) usishangae kugundua kwamba kuna characters mtu fulani anazo lakini hata yy mwenyewe hajijui kwamba anazo. e.g. mtu mbeya, ni mpaka pale inapotokea anaambiwa na wenzake kwamba unayo tabia ya kutoa maneno huku na kupeleka kule jambo ambalo linafitinisha watu. Ila yy atakataa katakata kwa sababu yy anaona huwa ni mazungumzo/story za kawaida za kijiweni.
Upo njee ya mada aisee uwiiiiiiiiKatika dunia ya sasa kila kitu kinaweza kuigwa vyema tu ila kabla ya kuchunguza unatakiwa kuwaelewa watu hawa;
Introvet; huyu unaweza kaa nae muda mrefu na bado ukaamini ana roho mbaya kisa tu huelewi yeye ni mtu wa aina gani.
Extrovet; anaweza kua anakufanyia wema kwa lengo la wengine waone ila katika nafsi yake sio kusudio lake anaweza kufurahia anguko lako lakini si kwasababu ya ukaribu laah hapana ni kwasababu aliona ulichokua nacho wewe hukustahili.
Ni vyema kuelewa saikolojia ya mtu kwanza sio kupima wema wa mtu kwa matatizo yako hapana wengine wanaogopa kujitoa sana kwa watu kwasababu ya husda na hulka ya mwanadamu ilivyo ndomaana leo hii mtu akiwa na misimamo yake binafsi katika kuendesha maisha yake huonekana kua na roho mbaya hapana ni dunia kwasasa inataka tuishi ivyo.
ShesRise_1
Natamani ungesoma mpaka mwisho ukaelewa ila ndio hivyoKila mtu anawema wake na ubaya wake inatokana na mazingira hakuna mtu mwema tu wala hakuna mtu mbaya ambaye hana wema
Kabisa kamamaa 😍Nafunga tatu kavu kwa ajili yangu na wewe maana wewe ni twin wangu kwa tabia hiyo🤣
Japo ubishi wetu naamini si wa kiburi ila wa kujenga hoja zenye mantiki
Na imagine unavyokua mbishi kwa fact 🤣🤣🤣
Mazingira wezeshi kutenda wema au kutenda mabaya sio??Kila mtu anawema wake na ubaya wake inatokana na mazingira hakuna mtu mwema tu wala hakuna mtu mbaya ambaye hana wema
Ooh okay karibu tena mkuuWatu wengi Sana unaweza kuwaangalia jinsi walivyo nje na kuweza kufahamu Kwa asilimia kadhaa clues za Tabia zao generally, ni watu wachache Sana duniani wanaoingia kwenye kundi la "Don't judge a book by it's cover" na hii ni exception ambayo ipo Kila mahali duniani...Kumtambua mtu mwema au mbaya inahitaji trainings, experience na instincts, mbali na hapo labda uwe na kipawa hicho.
Eti wezeshi😃Mazingira wezeshi kutenda wema au kutenda mabaya sio??
Yani Mtu asiye na msimamo. Mimi nadhani tabia kama tabia, inakuwa constant na mtu anafanya maamuzi kulingana na tabia yake.Eti wezeshi😃