Character Never Lies! Utamtambuaje Mtu Mwema au Mbaya?

Hakuna mwanadamu aliye mwema.

Mwema ni Mungu peke yake.
 
Hapa tunazungumzia characters za watu wewe unasema issue za Mungu hivi huoni kama unachanganya madawa
Mstari wa kwanza unahusu binadamu. Naurudia tena kwa msisitizo.

HAKUNA MWANADAMU ALIYE MWEMA. Mengine yote ni porojo tu.
 
Nikiongozana na mtu design hiyo anayefokea watu wa hali fulani hovyo with no remorse, moyoni nakosa amani maana nina uhakika yule anayekuwa mistreated lazima atakuwa anamuombea dua mbaya yule aliyekaripia bila sababu za msingi.
 
Binadamu wanatubadilisha tabia mimi unipokeavyo ndivo nitaishi na wewe sina roho mbaya ila ukiniletea nakumute...taratibu bila ugomvi.utanisikia kwny bomba.
 
Binadamu wanatubadilisha tabia mimi unipokeavyo ndivo nitaishi na wewe sina roho mbaya ila ukiniletea nakumute...taratibu bila ugomvi.utanisikia kwny bomba.
Binadamu wanabadili tabia kweli

Ila pia watu wanaibua tabia zilizojificha
Uibiwe kilo ya mchele then umvunje mtu kiuno ukiuliza kakuibia mchele🤣
 
Nikiongozana na mtu design hiyo anayefokea watu wa hali fulani hovyo with no remorse, moyoni nakosa amani maana nina uhakika yule anayekuwa mistreated lazima atakuwa anamuombea dua mbaya yule aliyekaripia bila sababu za msingi.
Kuna watu hawaogopi kabisa
 
Unaleta nyuzi nyingi ila chonde chonde usije leta mada kuiponda bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…