Power bank haipati joto lakini charger zinapata joto kali sana kama pasiMkuu Fast charging ni kawaida kupata joto, huwa kikawaida simu za Samsung zimekuwa Configured zisitumie hio 25W at full Capacity,
Cha muhimu hapo angalia powerbank inapata sana joto? Maana battery kupata joto si kitu kizuri.
Tafuta charger ya kawaida mkuu ambayo si fast charging. Ama tumia chaja za laptop za type C.Power bank haipati joto lakini charger zinapata joto kali sana kama pasi
nimeshatumia vichwa vitatu, cha kwanza nilidhani kibovu ni charger ya oraimo, nikaona ninunue cha samsung hiki nacho vile vile.
yani inanilizimu nichomoe kila baada ya dakika 40 ipoe
Chief hizo za kawaida nimezicheki huwa hazidi 10 watts.Tafuta charger ya kawaida mkuu ambayo si fast charging. Ama tumia chaja za laptop za type C.
Ndo maana yake mkuu, sababu chaja ya kawaida haita Over heat.Chief hizo za kawaida nimezicheki huwa hazidi 10 watts.
Watts = v x a
"
Is normal charge same as fast charger?
It's all down to the charger's wattage. A mobile phone charger with an output of 5 to 10 watts is considered a regular or standard charger. A charger with an output of 15 watts or more is regarded as a fast charger. At the higher-end, fast charging can have an output of 45
"
Nimeshajaribu charger 3 za samsung ikiwemo iliyokuja na box lake, situation haibadilikiNdo maana yake mkuu, sababu chaja ya kawaida haita Over heat.
Pia hio chaja ya Samsung ilikuja na simu? Most of time Samsung hawa include 25W charger kwenye Box, kuna possibility ndogo ikawa sio OG.
Alternative mkuu tafuta Chaja za Laptop zina maumbo makubwa hivyo joto si issue sana, wengine wanaweka hadi mafeni ndani.Nimeshajaribu charger 3 za samsung ikiwemo iliyokuja na box lake, situation haibadiliki
Jana nilichaji kwa kutumia kichaja cha zamani chenye 1a lakini sikucheki vizuri v zake, ilikuwa ina heat kwa mbali sana ila speed ndogo