chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Pumba crap mashudu at it's realityEvolution[changes] ni moja kati ya tabia za viumbe hai.
Ni kama zilivyo excretion, growth ama Mvt.
Tofauti na tabia nyingine, evolution inakuwa influenced by environmental changes, viumbe hawabadiliki bila sababu bali ili waendane na mazingira yaliyobadilika.
Mabadiliko ya kimazingira yanatokea kwa kasi ndogo mno kana kwamba ni vigumu kugundua hayo mabadiliko kwa muda mfupi.Vivyo hivyo mabadiliko ya viumbe hai yanatokea kwa kasi ndogo pia.
Hata hivyo, evolution inatazamwa kama nadharia, ndiyo maana evolutionists wanakusanya ushahidi kila wakati.
Kitu kingine, viumbe wanapobadilika hawabadiliki intentionally kuwa form watakayokuwa bali kuwa katika form yenye features zitakazo wawezesha ku-cope na namna ambavyo mazingira yamebadilika.
Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo wafia dini mnavyoichukulia evolution kama counterattack ya creationism na kuipinga kwa kusema ni mpango wa Shetani badala ya kuichukulia kama research question kujua kama lisemwalo ni kweli ama lah!.Siwezi kuwalaumu kwa hilo maana hizo dini zenu zinahimiza kuamini badala ya kutafiti[chanzo cha ujinga].
Watu wajinga wajinga kama wewe ndio mnakuja kuuliza maswali ya kipumbavu baada ya kuaminishwa kuwa evolution ni mpango wa Shetani.
Eti mtu unauliza kwanini viroboto hawaoti miguu?....kwani viroboto hawana miguu?....Miguu aliyonayo haimtoshi?
Hukuona aibu kuuliza hilo swali?.....au wewe ndo mbuzi wa kafara kwenye 1:4?
Yaani wewe ni taahira na kiroboto nyani kima tumbili chawa minyoo samaki konokono na nzi wa chooni kwa mujibu wa evolutionary.
Pole sana a modern tumbili.