Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wewe ni wapili sasa kujitoa Darwinism rasmi mwenzako msome posts za juu [emoji115] [emoji115] nae kajitoa Darwinism leoleo.

Jana ulikua unaitetea kwa nguvu zote umepigwa nondo za maana ukajaribu kuzitetea sasa zimekushinda unasema hauiamini Darwinism (naitathmini) theory ya 1800s mpaka leo inatathminiwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Acha kujifanya wewe pekee ndio umesoma Darwinism original Darwin theories zilikua hazina wala hazijajibu karibi 90% ya unayodai yalijibiwa ingependeza ukaandika neo Darwinism though mambo ya genetics yanatoa majibu yote wala haitajiki Darwin.

Nafikiri itajibu hata haya hapa.

Jibu haya maswali kila moja nipe naelezo yanayojitosheleza.

1. Which came first? Time, Space, Matter or energy?

2.Where did the necessary materials to create the universe come from and

where did they exist if there was no space?

3. Where did life originally come from if it can not appear spontaneously?

4. Which came first? Male or Female?

5. Why do we find petrified trees standing up through supposedly β€œmillions” of years worth of geological layers?

6. What were the first elements to be formed?

7. When and how did the stars come to be?

8. When did the laws of nature(i.e. Gravity) first come into effect?

9. Why is an unproven theory used as fact?

10. How did the universe start(please provide specified details)?
 
Ndio maana nikasema wewe ni kakilazer kwa maana hata kitu kikiwa uchi huelewi.....Unafikiri hizo dini za wageni zinajibu kila kitu.....sikulaumu sana kwani uwezo wako wa kufikiri upo chini na pengine hapo ndio mwisho wake.
 
Sijawahi kusoma hii kitu lakini kwa sababu ya kutaka kujua. Nimethibitishiwa na ex-evolutionists,Scientists, na Modern evolutionsists kuwa haya unayosema yote yamekwsha kuwa proven wrong. Tunamsema Darwin baadae anakuwa linked na karl marx, Renin, etc kwa sababu huu ulikuwa ni mpango wa kuilisha dunia nzima hasa ya wasomi uongo. Hao waarabu na Mabudha tunawajua maana concept hizi zilianza zaidi ya miaka 100BC.

Masters of Archeology has nothing to do with this discussion unless You give us scientific Facts based on geneology and physiology, Convice based on fact how mutation support evolution. Mutation has nothing to do With evolution(mutation process it self is agaist the theory), Darwin, hao waarabu na pro darwin wote wamekuwa proven wrong with current scientifc facts. sijui unapata wapi ujasiri wa kuandika haya mambo bila facts.
 
Ndio maana nikasema wewe ni kakilazer kwa maana hata kitu kikiwa uchi huelewi.....Unafikiri hizo dini za wageni zinajibu kila kitu.....sikulaumu sana kwani uwezo wako wa kufikiri upo chini na pengine hapo ndio mwisho wake.
Umesikia Darwinism nayo ni dini umeshtuka sana ukabadili mawazo hapohapo haya nenda kajitathmini huwenda Freemason Darwin akakuvutia na utapeli wake kwa mara ya pili.
 
Mkuu umeleta maelezo mazuri sana, hawa watu wanaamini kwamba evolution ilianzishwa na Darwin baada ya kuhongwa na Masonic clubs ili kuchalenje dini.Hawataki kuamini kwamba evolution ilishaanza kujadiliwa kabla ya Darwin.Yaani wao ni stubborn balaa, mtu akiwapinga ama kuwahoji wanadhani katumwa na Shetani kuwaharibia mambo yao.....kila theory ijadiliwe, itakayojitosheleza mtu aamue kuiamni....Kila la kheri Mkuu.
 
Ndio maana nikasema wewe ni kakilazer kwa maana hata kitu kikiwa uchi huelewi.....Unafikiri hizo dini za wageni zinajibu kila kitu.....sikulaumu sana kwani uwezo wako wa kufikiri upo chini na pengine hapo ndio mwisho wake.
Anashangaaa theory ya 1800's kutathiminiwa wakati biblia ina mamia na mamia ya miaka na bado inatathiminiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesikia Darwinism nayo ni dini umeshtuka sana ukabadili mawazo hapohapo haya nenda kajitathmini huwenda Freemason Darwin akakuvutia na utapeli wake kwa mara ya pili.
Darwin ni dini? hahahaaa kwa mara ya tatu, wewe ni kakilazer....mimi sina unazi na dini yoyote endeleeni kukatetea hako msichokijua wala kukiona.
 
Anashangaaa theory ya 1800's kutathiminiwa wakati biblia ina mamia na mamia ya miaka na bado inatathimini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Darwinism ina miaka 200s, bibilia ina miaka zaidi ya 4000 sasa huyu tayari nimeshamuita kakilazer sina haja ya kujadili naye jambo.Eti Darwinism ni dini? hahahahaaa...lol! maajabu makubwa ya wanadamu yapo Africa aisee.
 
Darwinism ina miaka 200s, bibilia ina miaka zaidi ya 4000 sasa huyu tayari nimeshamuita kakilazer sina haja ya kujadili naye jambo.Eti Darwinism ni dini? hahahahaaa...lol! maajabu makubwa ya wanadamu yapo Africa aisee.
Wewe unafikiri dini inahitaji mambo mengi sana yaani kwamba unaimanini Darwinism that's religion.

1. Beliefs and believers - Beliefs are the key tenets, doctrines, or values,believers (Darwinism and darwinists)

2. Sacred texts and writings - The most important beliefs of a religion are contained in its sacred texts. (survival of the fittest & natural selection)

3. Ethics - Ethics is the reasoning behind moral decision making. (there is no God no creationism)

4. Rituals and ceremonies - Rituals and ceremonies are practical expressions of aspects of a religion. (ceremony of the birthday of Charles Darwin and Darwinism)

Dini inahitaji mambo manne tu nayo mnayo yote [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Christmas ya Darwinists [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna anayeamini evolution ilianzishwa naDarwin. Darwin aliinstitute theories alizozirithi kwa baba yake kupitia babu Yake Erasmus. Hao wengine hawakuwa universal ni imani na mila potofu tu kama zilivyo zingine kama Tohara kwa wanawake . Tatizo huyujamaa wameziingiza hadi kwenye mitaala na ni grobal theory, na amejipatia wafuasi dunia nzima. Tena akaiassociate theory na science. Hapa ndio tunapata ground ya kumchambua na wafuasi wake wote na kupata ujasiri kuchungulia multidimensions za huyu na babu yake alikuwa ni nani na aliamini nini.
 
Tunafanya hivi ili raia wawe na multiple option.
Duniani kote raia wanapewa taarifa za upande mmoja based on evolution theories.
Kwenye Media, SHULE, Magazeti,University systems, libraries, movies, tamthilia, some political systems. Hii sio fair maarifa yote lazima yawe available ili watu wachague nini bora.
 
Threader amemuelezea vizuri tu huyo aliyeanzisha hiyo chai.

Before coming to Derby in 1788, Dr. Erasmus Darwin (1731-1802), physician and biologist, grandfather of Charles, became a Mason in the Lodge of Cannongate Kilwinning, No. 2, of Scotland.

Full massnondo!! [emoji123] [emoji123] [emoji123]

evolution of man Freemasonry cheap crap.
Proved [emoji817] [emoji818]
 
Ina maana wataka kusema raia hawana option ya kuchagua pindi zijapo theories za chanzo cha uhai? Kwani special creation theory haifundishi kwenye jamii?...Evolution ni famous kwa sababu inachunguzika/able to be tested tofauti na hiyo ya Mungu iliyoshushwa from nowhere.Kuwepo kwa wafuasi wengi na makosa/changamoto nyingi kwenye Evolution ni kwa sababu watu wanaweza kuijifunza na kuichambua tofauti na hiyo ya Mungu iliyokuja na vitisho ili kuforce watu waikubali.
 
Unafahamu tatizo la antibiotic resistance? Unafahamu kwa nini dawa za antibiotics nyingi za zamani hazifanyi kazi?
😑😑😑😑😑😑😑😑😑

ni kwasababu tunaelekea kuwa SUNGURA PORI badala ya kuwa NYANI NGABU
 

Ndugu, nashukuru sana kwa kuwa free-minded. Kila la kheri katika kujifunza mengi [emoji120]
 
Unazidi kujionesha ulivyomtupu kichwani huo utafiti uliokuonyesha samaki akiwa dinosaur uliufanya wapi na matokeo yalikuaje?

Alafu umeshasema hii theory hauijui (hujaitathmini) unawezaje kuijibia maswali na kuitetea dini yako ambayo bado haujaitathmini?

Pia umesema wakristo tudanganywa na wazungu lakini wewe naona povu linakutoka haswa kumtetea tapeli wako Darwin au ameshabadili uraia?
[emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji23]
 

Tujitahidi kumwambia na Prof Ndalichetu haya mambo ya ujinga eti binadamu katoka kwenye kundi la mafisi hapana kwa kweli, rekebisheni vitabu vya history nyie mnaojifanya watungaji wa vitabu, hivi kweli prof na midevu yako unaweza kuamini haya madudu??
 
Ndugu, nashukuru sana kwa kuwa free-minded. Kila la kheri katika kujifunza mengi [emoji120]
usimpotoshe mwenzako, kama kuna cha kujifunza hapa ndio mahali yake. leo hapa tunajadilli k kadika dimension of what you belief. Theories zote zikifeli tuangalie plan B kama inalipa. Sasa mmepewa uwanja wa kuextract all of your academic knowledges naona kama mnakimbiakimbia. This is your arena. Shusha nondo kama zipo tuzichallenge
 

Unaposema Archaeology haihusiani na evolution na Darwin una hakika ndugu? Unaposema Mutation inapishana na evolution una uhakika?

Pia sijaongea au kuchangia kuonyesha kwamba ninajua sana nimesema background yangu kujua kwamba ambaye atakuwa na hekima ataniuliza swali ambalo linaendana na concept za Darwin au evolution kwa ujumla na tukaeleweshana.

Nilipochangia ninachangia kwa sababu ninasoma hizi concepts mpaka leo hii. Ni concepts ambazo zina umuhimu kwangu na katika kazi zangu.

Mifupa ya kale ninafanya nayo utafiti mpaka leo hii. Ninachimba maeneo mengi kwa uchimbaji wa kitaalam na vipimo kufukua mifupa ya kale. Ninaona kwa macho yangu. Sizungumzii kwa ubishi au kwa kufanya fulani aonekane muongo. Naamini wapo wanaopenda kujifunza na sipendi wapotoke. Kama wakipotoka mimi nitakuwa sijatoa ushuhuda wangu kuangaza watu.

[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…