Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Kwanini usigimbee wewe?!Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Wangalieee wasifilisike tu maana kugombea nafasi hzi ni kamali ohoooooAisee baada ya ile kauli ya "wewe gombea tu ukishindwa tutaangalia nafasi nyingine" naona kila mtu anataka kutupa ndoano baharini.
ni kweli mkuu,Wangalieee wasifilisike tu maana kugombea nafasi hzi ni kamali ohooooo
Ova
CCM ilitakiwa kufutwa kabisaaaa, bora hata kuwe lichama lingine lililoundwa na wanaccm kuliko kuendelea kuwepo na liccm.Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Licha tu ya kuwa ccm hawafai, waandishi wa habari wametuangusha sana kama yule Juma Mkamia, nk wamekuwa vituko.Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Kwa kuwa wewe ndio utapiga kura,utahesabu na kutamtangazaBila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Nchi hii wajinga hamuoneshi dalili yakupungua! kwanini mnadhani Bungeni ni kijiwe cha wastaafuBila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.