Uchaguzi 2020 Charles Hilary chukua fomu ya Ubunge Jimbo la Kibamba hakika utashinda kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Charles Hilary chukua fomu ya Ubunge Jimbo la Kibamba hakika utashinda kwa kishindo

Ukweli upi sasa hapo zaidi ya propaganda na chuki tu mkuu.
Sasa ndugu yangu hivi level ya Charles na Amba ruti wai na wapi...?

Yaani Charles awe kwa level moja na kina Mpoli na Steve ? kweli? Kweli?
 
Huyo ni mstaafu kwenye sector binafsi huko ila bado ni mtu makini anaye weza kutufaa kwa kutumikia watanzania kwenye nafasi za kiasa kama hizi.
Bado tunahitaji watu wenye busara kama hawa wakatuwakirishe kuliko kupeleka watukanaji kule bungeni mkuu.
Tunajivunia
 
Back
Top Bottom