Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Karibu Kibamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani hapo wewe kinachokupa hasira ni kipi hasa?
Huyo ni mstaafu kwenye sector binafsi huko ila bado ni mtu makini anaye weza kutufaa kwa kutumikia watanzania kwenye nafasi za kiasa kama hizi.Unapigia debe wastaafu waende bungeni ili iwe nini kwa mfano?
Huyo ni mstaafu kwenye sector binafsi huko ila bado ni mtu makini anaye weza kutufaa kwa kutumikia watanzania kwenye nafasi za kiasa kama hizi.
Bado tunahitaji watu wenye busara kama hawa wakatuwakirishe kuliko kupeleka watukanaji kule bungeni mkuu.
Sasa mimi huwa siwezi kujadili kauli za namna hiyo mkuu mana sijawaona kondoo mule bungeni. Mijadala kama hiyo inakufaa wewe na wenzako unao fanana nao.Umri wa kustaafu una tofauti sekta binafsi na serikali? Kwahiyo Charles naye ni kondoo? Maana bunge la jiwe inatakiwa makondoo tu wa kutii kila atakacho yesu.
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Sasa mimi huwa siwezi kujadili kauli za namna hiyo mkuu mana sijawaona kondoo mule bungeni. Mijadala kama hiyo inakufaa wewe na wenzako unao fanana nao.
Mkuu, Bungeni watu hawaendi kulima kule. Kama wamekuwapo akina makamba jr,lusinde,rizone,kigwangala,gudlak mlingi kuna maana gani ya kumkataa mstaafu wa 55yrs/60yrs.Hivi wewe dogo unakuwaga na matatizo gani? Kwa hiyo hilo bunge ndio la kupeleka wastaafu? Mtu kafanya kazi mpaka kachoka, ww ndio unaona aende bungeni!
Mkuu, Bungeni watu hawaendi kulima kule. Kama wamekuwapo akina makamba jr,lusinde,rizone,kigwangala,gudlak mlingi kuna maana gani ya kumkataa mstaafu wa 55yrs/60yrs.
Hawa ni watu wenye busara,hekima na uzoefu uliotukuka. Bado wanahitajika kwa mchango ktk taifa.
Alikuambia anataka kuwa Mbunge? Kwa nini usigombee wewe? Au akili yako inatosha kusifia na kuabudu tu?Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Yeah Kuna watu hawana time na siasaCharles alihojiwa pale clouds+ akasema yeye hana interest na mambo za siasa kabisa,akaulizwa na vipi rais akikuteua kwny mambo ya siasa?
Akajibu sasa hilo ni jambo lingine lkn kamwe hutakuja kunisikia nimechua form kugombea cheo chochote kile.
Bado hujanielewa tu mkuu unakwama wapi? Hizo siasa za kuitana nyumbu na kondoo ni wewe na wenzako ndo mnaziweza, Mimi sizijui mkuu.Mkuu huwezi kuwaona, lakini humo ndani wako wa kutosha. Hujawahi kuona neno nyumbu, au lina tofauti na hilo makondoo?
Siyo dhambi, mimi nakushauri ugombee, yule amestaafu tunahitaji vijana kama wewe wenye mtazamo mpya.Kwani ni dhambi kushauri yeye kugombea mkuu.
Na Mimi pia nimeshauri agombee yule kwasababu ya utu uzima wake na busara alizo nazo pia amefanya kazi mashirika mengi hivyo ana weledi wa kutosha, kama kustaafu ni huko sekta binafsi ili kwenye siasa bado anaweza kuendelea.Siyo dhambi, mimi nakushauri ugombee, yule amestaafu tunahitaji vijana kama wewe wenye mtazamo mpya.
Kama wastaafu wakiingia tena kwenye siasa nyie vijana mnaomaliza vyuo lini mtapata fursa ya kutumia elimu yenu kulitumikia Taifa? Ni wakati wenu sasa. Wewe jitose hakuna mtu aliyezaliwa na weledi utajifunzia humo humo, mtu ukiwa na at least first degree huwezi kushindwa kukabiliana na majukumu yoyote yanayohitaji weledi.Na Mimi pia nimeshauri agombee yule kwasababu ya utu uzima wake na busara alizo nazo pia amefanya kazi mashirika mengi hivyo ana weledi wa kutosha, kama kustaafu ni huko sekta binafsi ili kwenye siasa bado anaweza kuendelea.