Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Trump ana miaka 74, Joe Biden ana miaka 77. Upi uchovu wa Charles Hilary?? Ni kweli, go Charles, una jina kitaifa na ushawishi.Hivi wewe dogo unakuwaga na matatizo gani? Kwa hiyo hilo bunge ndio la kupeleka wastaafu? Mtu kafanya kazi mpaka kachoka, ww ndio unaona aende bungeni!
Tungewapima kwa kura chini ya tume huru.Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Sasa kama vijembe ni sehemu ya siasa kwanini sasa wewe ukatae na uone haifai yeye kujiingiza kwenye hiyo siasa unayo iita ya kikondoo?
Mwache apumzike aseeeBila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Ndomana rage Alisema amepima upepo na kaona hapana[emoji23][emoji23]ni kweli mkuu,
Ubunge kuna watu umewafanya maskini , mtu anauza mali ili aupate anaangukia pua.
Sasa kwahiyo hayo unayo yasema ndio hastahili kugombea ama.Usimshauri vibaya...mambo ya kupata 03 kwa mtu mzima kama Charles ni aibu!!
CV ya Charles inatosha saana!! Imeshiba...kitu hadi BBC ebo.
Anaheshimika mno yeye na Tido...
Wakongwe wa RTD Pugu road enzi hizo acha kabisa.
Vijana wa siku hizi hamyajui haya!! Muwe mnauliza.
Hadhi yake kubwa...kugombea nini? Unataka Charles awe mzee ya Yes yes kupiga meza? Nini wanafanya wabunge wa CCM zaidi ya kusifu na kuabudu kila kitu kinacholetwa na Serikali bungeni...Sasa kwahiyo hayo unayo yasema ndio hastahili kugombea ama.
Bunge gani? Yaani awe mbunge wa CCM & awe mzee wa yes yes.... Charles si mtu wa kuigiza Bungeni kushangilia kwa vijembe!! Charles status yake ni kubwa zaidi ya hiyo.Sasa kwahiyo hayo unayo yasema ndio hastahili kugombea ama.
Hasira yako ni kwamba hutaki awe mbunge kupitia ccm ila hizo nyingine ni propaganda tuBunge gani? Yaani awe mbunge wa CCM & awe mzee wa yes yes.... Charles si mtu wa kuigiza Bungeni kushangilia kwa vijembe!! Charles status yake ni kubwa zaidi ya hiyo.
Bunge la Tanzania.. hasa ukiwa mbunge wa CCM ni kulala tu ukiamka ni kupiga makofi ya ndiyooooooo unalipwa mamilion ya bure...si Charles huyu!!
Ubunge wa CCM hadi kina Amba Ruti.....Hasira yako ni kwamba hutaki awe mbunge kupitia ccm ila hizo nyingine ni propaganda tu
Ukweli unauma....Hizo ni chuki tu