Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,641 Reaction score 11,958 Jul 24, 2020 Thread starter #81 FUSO said: Ukweli unauma.... Click to expand... Ukweli upi sasa hapo zaidi ya propaganda na chuki tu mkuu.
FUSO said: Ukweli unauma.... Click to expand... Ukweli upi sasa hapo zaidi ya propaganda na chuki tu mkuu.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jul 24, 2020 #82 Dam55 said: Ukweli upi sasa hapo zaidi ya propaganda na chuki tu mkuu. Click to expand... Sasa ndugu yangu hivi level ya Charles na Amba ruti wai na wapi...? Yaani Charles awe kwa level moja na kina Mpoli na Steve ? kweli? Kweli?
Dam55 said: Ukweli upi sasa hapo zaidi ya propaganda na chuki tu mkuu. Click to expand... Sasa ndugu yangu hivi level ya Charles na Amba ruti wai na wapi...? Yaani Charles awe kwa level moja na kina Mpoli na Steve ? kweli? Kweli?
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Dec 23, 2020 #83 Dam55 said: Huyo ni mstaafu kwenye sector binafsi huko ila bado ni mtu makini anaye weza kutufaa kwa kutumikia watanzania kwenye nafasi za kiasa kama hizi. Bado tunahitaji watu wenye busara kama hawa wakatuwakirishe kuliko kupeleka watukanaji kule bungeni mkuu. Click to expand... Tunajivunia
Dam55 said: Huyo ni mstaafu kwenye sector binafsi huko ila bado ni mtu makini anaye weza kutufaa kwa kutumikia watanzania kwenye nafasi za kiasa kama hizi. Bado tunahitaji watu wenye busara kama hawa wakatuwakirishe kuliko kupeleka watukanaji kule bungeni mkuu. Click to expand... Tunajivunia