TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar.

Marehemu Keenja alizaliwa December 24, 1940.

Mungu aipokee Roho ya Marehemu mahali pema peponi.
=====

Keenja amewahi kuwa Waziri wa Kilimo na Chakula katika Serikali ya Awamu ya Tatu ya Hayati Benjamin Mkapa. Pia amewahi kuwa Mbunge wa Ubungo kwa vipindi viwili vya mwaka 2000 hadi 2010.

Kabla ya kuingia kwenye siasa, mwaka 1996 Keenja alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jiji la Dar es Salaam baada ya Hayati Mkapa kuuvunja uongozi wa Jiji la Dar es Salaam. Ni wakati huo ambapo, Jiji la Dar es Salaam lilianza kukua kwa kasi hasa kwenye ujenzi wa miundombinu.

----
Pia soma

 
Dah misiba miwili mikubwa ndani ya siku moja daha
 
Back
Top Bottom