TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

Waziri wa zamani wa Kilimo Charles Keenja pamoja na mke wake wameaga dunia leo katika hospitali ambayo haijajulikana mapema.

Vifo hivyo vimetokea leo mchana, kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ya mzee keenja, kabla ya mauti Keenja na mkewa walikuwa wamelazwa hospital takribani siku 3 hivi wakisumbuliwa na changamoto ya upumuaji.

Taarifa zaidi tutawawekea hapa
 
Inasikitisha sana. Mungu awarehemu na awape wepesi, nguvu, ujasiri na faraja wapendwa wao wakati huu mgumu wanapitia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inadaiwa ilikuwa ni changamoto ya kupumua pia.
Dah itakuwa mzee alipata mshtuko kijana wake kufariki. Katika wakati mgumu kwa binadamu ni kufulia, kupigwa chini na demu na msiba.
 
Achana nao hao. Ukiwaambia Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar wanashikwa na mshangao.
Sasa yeye kuwa Rais wa zenji itatusia nini? Je itatusaidia kupata sado ya mahindi?

R. I. P Mr and Mrs
Inadaiwa ilikuwa ni changamoto ya kupumua pia.
Ila inauma na kusikitisha wote kufa pamoja wakati mmoja. Napiga picha familia yao inavyopitia wakati mgumu.

Mkuu BAK hivi hii Delta na Indian variant ni sawa?
 
Hiyo ni ya India Mkuu na inaambukiza na kuua haraka sana wengi tangu waipate hadi kifo wiki haifiki hasa kwa wale ambao hawajapata chanjo.
Sasa yeye kuwa Rais wa zenji itatusia nini? Je itatusaidia kupata sado ya mahindi?

R. I. P Mr and Mrs
Ila inauma na kusikitisha wote kufa pamoja wakati mmoja. Napiga picha familia yao inavyopitia wakati mgumu.

Mkuu BAK hivi hii Delta na Indian variant ni sawa?
 
Sasa yeye kuwa Rais wa zenji itatusia nini? Je itatusaidia kupata sado ya mahindi?

R. I. P Mr and Mrs
Ila inauma na kusikitisha wote kufa pamoja wakati mmoja. Napiga picha familia yao inavyopitia wakati mgumu.

Mkuu BAK hivi hii Delta na Indian variant ni sawa?
Nipe anuani nikutumie hilo sado la mahindi, lisikupe sana mawazo 😀
 
MBONA KAMA MISIBA INAANZA KUSHIKA HATAMU???
Mkuu mbeya kuna misiba mingi sana nafikiri kwa mbeya mjini apa kila mahala ni msiba kwa sisi wenye wazazi walioenda umri kila siku wanashunda misibani tu leo anakwambia wa huyu kesho anakwambia wa yule ni shida mpaka tunajiuliza ndo mwisho wa dunia tumefika au vipi
 
Back
Top Bottom