Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Kwanza mkuu nikutangulize kma miezi mitatu hivi, bdye ntakuuliza Hali yako hlf ndo ntafanya maamuzi Sasa, Ila hiyo kitu ni hatari, ilinipiga kma wiki mbili hivi, haina utani, isikilizie Kwa mwingine mkuu, lkn kma umechanja ni maamuzi mazuri pia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu kama hicho Mkuu. Epuka COVID-19 kwa kupata chanjo.
Ngoja Kwanza mkuu nikutangulize kma miezi mitatu hivi, bdye ntakuuliza Hali yako hlf ndo ntafanya maamuzi Sasa, Ila hiyo kitu ni hatari, ilinipiga kma wiki mbili hivi, haina utani, isikilizie Kwa mwingine mkuu, lkn kma umechanja ni maamuzi mazuri pia.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Alikuwa mwenyekiti wa Tume ya Jiji la Dar es salaam, alifanya mageuzi makubwa sana kati ya mwaka 1996 hadi 1999, zilipoanzishwa Halmashauri za Manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke, atabaki kwenye kumbukumbu za viongozi walioacha alama kubwa sana nchi hiiR.I.P. aliyekua Mkurugenzi wa Tume ya jiji la daslam .
Buriani, huu ni msimu wa Israel kuvunaAliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar...
Keenja na mkewe wamefariki kwa pamoja akianza Keenja.Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar...
Umeuliza uliza huko kama walichanja?Keenja na mkewe wamefariki kwa pamoja akianza Keenja.
Chanjo inaanza kufanya kazi baada ya siku kumi na nne (14) au wiki mbili, kumbuka mwili wa binadamu una mishipa mingi sana hivyo dawa hutumia muda kusambaa mwilini.Umeuliza uliza huko kama walichanja ?
[emoji15][emoji15][emoji15] aisee vifo double double duh! Yule Waziri wa Ulinzi Baba yake pia kafariki.
Halafu bado kuna kenge bado zinakataa uwepo wa Corona !!. Watu wazima tuna shidaWaziri wa zamani wa Kilimo Charles Keenja pamoja na mke wake wameaga dunia leo katika hospitali ambayo haijajulikana mapema.
Vifo hivyo vimetokea leo mchana, kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ya mzee keenja, kabla ya mauti Keenja na mkewa walikuwa wamelazwa hospital takribani siku 3 hivi wakisumbuliwa na changamoto ya upumuaji.
Taarifa zaidi tutawawekea hapa
Umeona death certificate yake au ndio udaku wa JF?
Sawa, ila wewe mwerevu umeona death certificate ya mzee? Hayo mengine ndio udaku mliouleta hata mmeharibu ile reputation ya mwanzo ya JF.yaani wewee ni bonge la falaa kweli kweli, aliyekwambia JF ni jukwaa la udaku nani?? ebu jaribu kufikia 'nje ya box' hata kidogo, kwani wewe unafikiri hii couple imekufa siku moja kwa kuchoma visu??? mzee hili ni jukwaa la ma great thinkers mzee, kama hauendani na hili jukwaa wee rudi tuu FB......
Pole na msiba ndugu!Mungu wangu jmn eh Baba
Wasaidie hii familia daah
Namfahamu mke wake yani moyo umefanya paa
Miaka mingi sana hiyo mkuu.Mimi si mkamilifu ila ikimpendeza Mwenyezi Mungu, afanye majaribio kwangu niishi miaka kama 500 hivi kama enzi zilee ila bila karaha zinazokuja na uzee.
Amenipa karama ya uvumilivu na unyenyekevu mkubwa, nadhani sitamuangusha.
Du; Charles Keenja alikua mbabaishaji? Alama alizoziweka katika jiji la Dar hadi sasa hvi hakuna aliyeweza kuzikaribia mkuuu, remember it was the year of 90'sCharles Keenja! Du alipotea sana huyu mbabaishaji
U Uzi haujakamilika hakuna taarifa kuhusu mkeweAliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar.
Marehemu Keenja alizaliwa December 24, 1940.
Mungu aipokee Roho ya Marehemu mahali pema peponi.
=====
Keenja amewahi kuwa Waziri wa Kilimo na Chakula katika Serikali ya Awamu ya Tatu ya Hayati Benjamin Mkapa. Pia amewahi kuwa Mbunge wa Ubungo kwa vipindi viwili vya mwaka 2000 hadi 2010.
Kabla ya kuingia kwenye siasa, mwaka 1996 Keenja alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jiji la Dar es Salaam baada ya Hayati Mkapa kuuvunja uongozi wa Jiji la Dar es Salaam. Ni wakati huo ambapo, Jiji la Dar es Salaam lilianza kukua kwa kasi hasa kwenye ujenzi wa miundombinu.
----
Pia soma
Good evening headmistressAlipanda miti sana wakati wake.
Rest Easy brother