Yeye Kimei anafanya nn bungeni kama anajua hayo? Mawazo kama hayo hakuna jipya, elimu ya ufundi stadi ipo na inafundishwa, kipi kipya Kimei kasema? Yeye mwenyewe kastaafu CRDB, kashindwa kujiajiri, kakimbilia kuomba ajira kwa wananchi.. Kwanini Kimei pamoja na kuwa MD wa CRDB ana mahela kibao, asijiajiri na kufungua miradi ambayo ingetoa ajira kwa wananchi hata wa jimbo alilotoka la Vunjo? Kimei kashindwa kujiajiri mwenyewe, alafu anaishauri serikali itengeneze ajira kwa kufundisha ufundi, mbona hakuna jipya hapo. Au ww mpambe tu wa Kimei, hapa JF sio kila mtu mjinga, ukipost jambo waza mara nyingi, acha kuona watu wajinga ww.. Kimei nothing new kasema. Mwenyewe kashindwa kujiajiri..