Wangu nilimpeleka kwenye ufundi cherehani sasahivi ananunua materials tandika na kitumbini, anashona magauni, mashati na nguo za watoto na kuziuza kwa bei powa.Mpeleke attachment kwa mama ntilie atalipwa elfu tatu kwa siku kupika ku serve na kuosha vyombo ajifunze umama au ubaba nitilie halafu mpe mtaji baada ya mwaka afanye
Shida mwingereza alipokuja lengo lake lilikuwa kuandaa makarani wa white color jobs tulipopata uhuru tuka adapt elimu ya muingeteza!! ya kuzalisha white color jobs officials!! Tukabaki na mentality ya kikoloni hadi Leo
Niseme wazi tulipofikia white color jobs are not nuch needed kwenye makert na hazina future kubwa both in the public sector na private sector
Wanafunzi wasisome tu kama wehu waangalie soko linataka nini. NA WAZAZI tuwe serious tuangalie soko linataka nini vyuo pia waangalie soko lataka nini sababu wakisubiri wazazi na watoto waamke kugomea course zao sababu hazina ajira wala future watakuja jikuta vyuo vinafungwa kwa kukosa wanafunzi
Hongera walau huyo anajielewa na division zero yake tofauti na graduates wengi wanaowadodea wazazi na ndugu zao majumbaniWangu nilimpeleka kwenye ufundi cherehani sasahivi ananunua materials tandika na kitumbini, anashona magauni, mashati na nguo za watoto na kuziuza kwa bei powa.
Wangu nilimpeleka kwenye ufundi cherehani sasahivi ananunua materials tandika na kitumbini, anashona magauni, mashati na nguo za watoto na kuziuza kwa bei powa.
Kazi Nyingi sasa hivi sio za white color jobs za kulamba suti na tai muambiane huko Chadema kuwa kazi za kulamba suti na tai hazipo ukiwemo ugombea uraisi , ubunge na udiwani kupitia ChademaKwahiyo zile ajira 8m mlikuwa mnawatapeli the so called wapiga kura?
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku...
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Umepigilia msumari penyewe mtu kasoma degree ya electronics and telecommunication hawezi fungua hata kibanda bubu cha kuingiza nyimbo kwenye simu au kutengeneza unakuta darasa la saba ndio mafundi simu hadi za touch! Na Ipad na iphone !!!Hivi kinachotusumbua graduates ni kutokusoma stadi za kazi au ni kuandaliwa kuishinda tunayohisi kuwa aibu endapo tutaonekana kufanya baadhi ya kazi?
Mfano ni wahitimu wangapi wa mechanical/electrical engineering wanaoona aibu kujichanganya gereji za kitaa kufanya kazi zilizopo wajipatie kipato ila wanashinda kutwa na bahasha kutafuta kazi za ofisini zinazoendana na walichosomea vyuo?
Kwasababu kama umesoma technical schools uka graduate katika fani husika unashindwa vipi kufanya ulichokisomea hadi unazidiwa maisha na muhitimu wa veta mtaanj kwenu.. Hapa sio kwamba ni aibu tu inatukumba na kujikuta tunashindwa kufanya kazi za tunaoamini hawajasoma?
Nyingi sio za white color jobs za kulamba suti na tai muambiane huko Chadema kuwa kazi za kulamba suti na tai hazipo ukiwemo ugombea uraisi , ubunge na udiwani kupitia Chadema
Wapo wengi tuu wa kumtosha Wanaovaa mitumba wanavaa na hizo piaNa mitumba yote hii kuna mtu anavaa nguo za kushonesha zinazotoka oversize in most cases?
Wapo wengi tuu wa kumtosha Wanaovaa mitumba wanavaa na hizo pia
Curriculum ya elimu ya Tanzania na afrika kwa ujumla hazisadifu mahitaji ya nchi, imekazia kumuandaa mtoto kuajiriwa tuu.
Kwa kiasi kikubwa sana curriculum yetu imechangia kuua vipaji wanavyozaliwa navyo watoto, inakinzana pia na shughuli za uzalishaji zilizo katika jamii zetu kama nufugaji na kilimo na na hii inachangia sana kuwako kwa hii shida ya ajira Tanzania na Africa
Eti zaidi ya 70% ya ajira zipo kwenye kilimo halafu vijana wetu wapenda chipsi hawajui hata kama viazi vya chips vinachumwa kwenye mti kama maembe au vinachimbwa ardhini [emoji41][emoji41]
Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Mnajua kuongea SanaMpeleke attachment kwa mama ntilie atalipwa elfu tatu kwa siku kupika ku serve na kuosha vyombo ajifunze umama au ubaba nitilie halafu mpe mtaji baada ya mwaka afanye
Kazi Nyingi sasa hivi sio za white color jobs za kulamba suti na tai muambiane huko Chadema kuwa kazi za kulamba suti na tai hazipo ukiwemo ugombea uraisi , ubunge na udiwani kupitia Chadema
Kwani waajiriwa kwenye ajira rasmi wanalipwa sh ngapi? Na wao hawazeekei kwenye nyumba za kupanga? Fundicherehani mdogo kabisa anaingiza wastani wa 20 kwa siku sioni kama ni kitu kidogoNi kweli, ila atazeekea kwenye nyumba ya kupanga, maana hicho kipato kutoka ni majaliwa.
Sijui ni wangapi wa kariba yake waliojiajiriCharles Kimei ni msomi aliyeelimika mwenye kujua jinsi ya kuitumia elimu yake kwa matumizi sahihi ya mazingira yaliyopo
Hongera kwake mbunge wa Vunjo
Ni ujinga tu unaongelewa humu na watu ambao hawajui chochote kuhusu hustling za mtaa , sjui nan atakubali humu akatwe mshahara wake ili multi billion dollar ziende kuturn around huo mtaala wanaousema istoshe wakufunzi lazima watoke nje , waliopo ni wachache na skills zao zinatia mashaka na still hao mafundi wa kitaa most of them wanapata hela ya Kula tuuu , tusidanganyane hapa ...... Wanaotoboa ni wenye mitaji mizito tatizo ambalo hata graduates wa sa hvi linawaumiza kichwaYeye Kimei anafanya nn bungeni kama anajua hayo? Mawazo kama hayo hakuna jipya, elimu ya ufundi stadi ipo na inafundishwa, kipi kipya Kimei kasema? Yeye mwenyewe kastaafu CRDB, kashindwa kujiajiri, kakimbilia kuomba ajira kwa wananchi.. Kwanini Kimei pamoja na kuwa MD wa CRDB ana mahela kibao, asijiajiri na kufungua miradi ambayo ingetoa ajira kwa wananchi hata wa jimbo alilotoka la Vunjo? Kimei kashindwa kujiajiri mwenyewe, alafu anaishauri serikali itengeneze ajira kwa kufundisha ufundi, mbona hakuna jipya hapo. Au ww mpambe tu wa Kimei, hapa JF sio kila mtu mjinga, ukipost jambo waza mara nyingi, acha kuona watu wajinga ww.. Kimei nothing new kasema. Mwenyewe kashindwa kujiajiri..
Hiyo electric fence ikoje.....mm pia nawaza electric fenceMimi Sasa hivi Nina mipango ya kujifunza.
CCTV
Electric gates.
Na electric fence.
Najua ipo siku vitakuja kunisaidia