Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Unaelewa tabia za kichawi? Uchawi ni wivu wa kijinga, chuki isiyo na sababu, husda, uzandiki na upuuzi Kama ulionao wewe na mtoa mada. Zingine ni Mila tu na desturi acha utopolo. Cc mpuuzi Gagnija
Wewe Majasho huna asili? Au ndio umekua m-belgiji hadi umewapita wabelgiji wenyeweMgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Mambo ya kawaida sana,watu wengi uwekwa wwkfu kimila,na kupewa heshima za kimila,Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Yaani tumefikia mahali uhalali wa jambo ni pale linapofanywa na viongozi wa upinzani tofauti na hiyo si halali. (Lowassa akiwa Chadema 2015) Mnyika, Lissu kutambikiwa na kusimikwa ni halali, kwa mwana CCM ni haram.😬😬Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Ndio ujiulize watu wanapewa heshma kadri ya asili zao wanaitwa wachawi.....Tambiko za kisiasa hizi acheni uzandiki wenu....kuna uchawi gani hapo?.
Jamani hapo anabarikiwa na wazee wa mila. Je, angekwenda madhabahuni kwa padre au msikitini kwa shehe/imam tungesema hayo?
Katika jambo wazungu walilofanikiwa ni kutufanya tujione "washenzi" na tujichukulie hivyo. Inakuwaje tunajiondoa ufahamu kiasi hicho cha kujidharau na kudharau utamaduni wetu kiasi cha kuufananisha na uchawi? Tujikomboe kifikra.
Vipi yule Mgombea aliyefanyiwa tambiko na kupewa kuwa chief wa wasukuma .Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Kwani tambiko linatatizo ngani? Achana na slavery mentality!Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
View attachment 1557923View attachment 1557925
Acha fix mkuuMzizi muhimu mkuu, kule shinyanga bila mzizi unaweza shambuliwa hata na jogoo ukiwa jukwaani
Wewe na hio roho yako ndo mchawiTena ramli chonganishi ya kuwaombea majanga washindani wake.