Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Unaelewa tabia za kichawi? Uchawi ni wivu wa kijinga, chuki isiyo na sababu, husda, uzandiki na upuuzi Kama ulionao wewe na mtoa mada. Zingine ni Mila tu na desturi acha utopolo. Cc mpuuzi Gagnija


Asante ndugu kwa majibu ya hekima na kujitambua kuelekea kwa mleta mada.
Kweli wazungu wamefanikiwa kutufanya kudharau vyetu na kutukuza vya kwao. Yaani wazee kumuombea dua mgombea ni uchawi, ila kukanyagana na kuuana kwenye harakati za kukanyaga mafuta ya "upako" ni hekima, ucha - Mungu na ustaarabu. Inashangaza sana.
 
Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.

View attachment 1557923View attachment 1557925
Wewe Majasho huna asili? Au ndio umekua m-belgiji hadi umewapita wabelgiji wenyewe
Hakuna jamii isiyokua na asili na Mila zao labda wewe uwe hajatoka kwenye jamii yoyote Ile umeibuka tuu toka kusikojulikana
download.jpeg

Hao hapo juu wewe utawaita wachawi wa ubelgiji
images (9).jpeg

Hawa wachawi wa amerika ya kusini
scots_2266408a.jpg

Huyu mchawi wa Scottland
2255825_MNYIKA_APEWA_UCHIFU_WA_WASUKUMA__Katibu_Mkuu_wa_Chadema_John_Mnyika_amewasili_m__480_X...jpg

images (7).jpeg

Hao hapo wachawi wa Tanzania

Mdharau mila mtumwa
 
Tambiko za kisiasa hizi acheni uzandiki wenu....kuna uchawi gani hapo?.
 
Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.

View attachment 1557923View attachment 1557925
Yaani tumefikia mahali uhalali wa jambo ni pale linapofanywa na viongozi wa upinzani tofauti na hiyo si halali. (Lowassa akiwa Chadema 2015) Mnyika, Lissu kutambikiwa na kusimikwa ni halali, kwa mwana CCM ni haram.😬😬
 
"Kila mtu anaakili timamu kabla ya kujiunga sisiemu" (Otto van Bismarck 1885)
 
Tambiko za kisiasa hizi acheni uzandiki wenu....kuna uchawi gani hapo?.
Ndio ujiulize watu wanapewa heshma kadri ya asili zao wanaitwa wachawi.....
Kuna post na comments unaweza kusoma ukashangaa na kubaki na maswali hadi ukatamani kujua umri wa aliepost
 
Watanzania tuna sub standard sana...Lissu Juzi kavalishwa madude km hayo na wasukuma wa shinyanga watu wakafungua threads za kumsifu...leo Kimei kafanya the same maneno maneno...kuna tatzo gani mtu kufanya mambo yake ya kimila?km ww huamini then leave him be,stick with what you belive in bila kumkashifu..
 
Jamani hapo anabarikiwa na wazee wa mila. Je, angekwenda madhabahuni kwa padre au msikitini kwa shehe/imam tungesema hayo?
Katika jambo wazungu walilofanikiwa ni kutufanya tujione "washenzi" na tujichukulie hivyo. Inakuwaje tunajiondoa ufahamu kiasi hicho cha kujidharau na kudharau utamaduni wetu kiasi cha kuufananisha na uchawi? Tujikomboe kifikra.

On point.
 
Mkiyakumbuka ya "mwenge" na uanzishwaji wake msimshangae Dr. Kei
Hiyo ni asili kwa chama kile!!!
 
Hee,,!!inamaana msomi anatakiwa aache mila yake?.kama ni kweli msomi anatakiwa aache mila yake,basi huyo sio msomi ni mbumbu,mshamba wa kuona mila yake aifai.
 
Back
Top Bottom