Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Unaelewa tabia za kichawi? Uchawi ni wivu wa kijinga, chuki isiyo na sababu, husda, uzandiki na upuuzi Kama ulionao wewe na mtoa mada. Zingine ni Mila tu na desturi acha utopolo. Cc mpuuzi Gagnija
Asante ndugu kwa majibu ya hekima na kujitambua kuelekea kwa mleta mada.
Kweli wazungu wamefanikiwa kutufanya kudharau vyetu na kutukuza vya kwao. Yaani wazee kumuombea dua mgombea ni uchawi, ila kukanyagana na kuuana kwenye harakati za kukanyaga mafuta ya "upako" ni hekima, ucha - Mungu na ustaarabu. Inashangaza sana.