Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.
Duh kwahiyo yanayofanyika makanisani na misikitini ndio ya kisasa ?

Sisemi hiki wala kile ndio bora..., to each his/her own.., lakini tukija kwenye imani zote ni imani kuanza kusema imani hii au ile ni superior...., is being unlogical to say the least.... After all zote ni Imani nothing more nothing less
 
Watu wa JF bna yani mfano wewe uende kijijini kwenu wazee wakuambie wanataka wakupe baraka je utakataa? Nilicho observe wengi hawajui hata asili na vijiji vyao mtu anaitwa Mwaisa ila anazaliwa kukulia mjini
 
Bungeni kuna nn? Kuna watu huwa wanaonekana wana hadhi kuliko ubunge ila wanapakimbilia. Au ni nafasi ya kuwa waziri maybe.
 
Mila na desturi, sio ushirikina.
P
Kama jumapili unaingia kanisani na unaamini katika ukuu wa Mungu, halafu una-submit kwa hivi vi impotent god katika jina la mila ndio ushirikina wenyewe. Impliedly, your belief in the Almighty, most high God is shaky.
 
Pumbavu kabisa, alishikiwa bastola? Kwanini hakukataa mambo hayo ya kishirikina!
Wewe ni mjinga wa mwisho, hizo ni tamaduni za kawaida za kimasai, sielewi huo ushirikina umetoka wapi
 
kuna mambo yanakushushia sana heshima ukianza kuyashiriki,moja wapo ni hili la kugombea nafasi za kisiasa...kimei alishafika hadhi ya juu kabisa ya heshima katika utumishi,tena kwa mafanikio makubwa kabisa,leo anaanza jidhalilisha hivi
 
Wewe ni mjinga wa mwisho, hizo ni tamaduni za kawaida za kimasai, sielewi huo ushirikina umetoka wapi
Taratibu, labda ukinielimisha ujinga utanitoka. Mimi ninaamini katika Mungu mmoja muumba wa kila kitu. Hizo tamaduni za kimasai zinaamini katika huyo Mungu ninayemuamini?
 
Mbona sioni tatizo jamani? naona alienda sehemu za wamasai wakampa heshima ya kiongozi ktk eneo lao.
 
kuna mambo yanakushushia sana heshima ukianza kuyashiriki,moja wapo ni hili la kugombea nafasi za kisiasa...kimei alishafika hadhi ya juu kabisa ya heshima katika utumishi,tena kwa mafanikio makubwa kabisa,leo anaanza jidhalilisha hivi
Hujui.......Sasa Kimei na huyu mgombea urais, nani mwenye hadhi ya juu?......Sijui.....Kweli imebidi niwakumbuke wahenga.' Kunya anye kuku, akinya bata.......' ONA SASA!
Screenshot_20200904-101020.jpg
 
Wajinga sana hawa mkuu.
Kanisani wanafukiziana ubani na kunywa damu za Yesu...sasa sijui uchawi hapo ni UPI?
Kumbe kwenu Mungu wa Kiafrika mnamwita Shetwani!
 
Hilo siyo Tambiko. Acheni kuwa watumwa wa fikra. Hapo anapokea dua na maombi ya asili ya Watanzania. Maombi siyo hadi uombewe kwa mfumo wa dini za Kikoloni. Hayo ndo maombi halisi, tena ya amani ndo maana wametumia hadi majani ishara ya amani.
 
Back
Top Bottom