Hii kuanza upya kila baada ya miaka mitano au kumi ndio maana hatuendelei wala hatuna long term plans....
Inabidi sio kuanza upya bali kuendeleza tulichokianza hapo zamani...
If I have seen Further than others... is by standing on the Shoulders of the Giants...., Alisema mtu mwenye busara hapo kale....
Maendeleo huja kwa kuendeleza kile walichokianza wengine na sio kubeza na kuanza upya kila leo...
Jioni unawakuta wako na Mbatia wanakula kitimoto..Dr.Kimei anasema jimbo la Vunjo lilikuwa na hali mbaya sana.
..maana yake ni kwamba hakuna kitu cha kuendeleza kilichoachwa na watangulizi wake.
..pia anasema wakati wa Jpm Vunjo ilikosa ushirikiano na serikali.
Hujazijua tu tabia za wanasiasa wa Tz ?..ni mahojiano na Dar24.
..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
Naam na atakayekuja mwanasiasa mwingine atasema waliotoka hawakufanya kitu mimi ndio naanza kufanya kitu... Yaani Siasa zilizopo duniani sasa ni siasa za attack and defend na sio za ushirikiano wa kimaendeleo; waliopo wanatumia muda mwingi kujitetea ili waendelee kubaki na ambao hawapo muda mwingi ku-attack waliopo ili wao ndio waingie kundini.....Dr.Kimei anasema jimbo la Vunjo lilikuwa na hali mbaya sana.
..maana yake ni kwamba hakuna kitu cha kuendeleza kilichoachwa na watangulizi wake.
..pia anasema wakati wa Jpm Vunjo ilikosa ushirikiano na serikali.
Washamtengeneza kwamba anaweza kumrithi Mwigulu..ni mahojiano na Dar24.
..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
Hichi kipeperushi cha mtandaoni kimekosea kwa kutumia rangi za benk ya Crdb. Japo JamiiForums hamna uwezo kwenye kudhibiti maudhui ya 3rd part lakini kwenye hili mnaweza kufanya jambo la hekima ili kuilinda nembo ya benki ya Crdb ambayo kwa namna yoyote ile haihusiki na maudhui yanayoongelewa kwenye video hii...ni mahojiano na Dar24.
..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
Kimei kachoka kifikra. Siasa ni sayansi ambayo Kimei hana hata chembe.
Hiyo sio usmart ni unafiki tuJioni unawakuta wako na Mbatia wanakula kitimoto
Wachagga wako smart sana
Maisha bhana ! huyu jamaa alitegemea eti awe waziri wa fedha , mwishowe kaishia kuwa Mgonga meza tu bungeni..ni mahojiano na Dar24.
..Dk.Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
..lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dr.Kimei pia ameituhumu serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
..nadhani Dr.Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
MBONA MAELEZO YANAELEWEKA...haeleweki anasimamia wapi.
..Je, Vunjo imekosa maendeleo kwasababu Mrema na Mbatia hawakuwa na nia njema?
..Je, Vunjo imekosa maendeleo kwasababu serikali ya awamu ya 5 ililitenga jimbo la hilo?