kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Sikutegemea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Kimei ana shida ya kuchambua mambo ya siasa za ccm. Unaposema tu kwamba awamu ya 5 Vunjo ilitengwa na serekali ya ccm kusudi lilikuwa nini??Je wachaga wangapi wanaopenda siasa za kujikomba.Maisha bhana ! huyu jamaa alitegemea eti awe waziri wa fedha , mwishowe kaishia kuwa Mgonga meza tu bungeni
Shetani hana rafiki
..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
Siasa ni kama klabu za mpira, siasa si ugomvi ni jukwaa la kupitisha maendeleo kwa mtazamo tofauti. Tatizo ni watanzania kutokujua maana ya siasa japo Dr. Slaa na mkewe enzi zake akiwa Chadema na mke akiwa CCM walijaribu kuwaonesha watanzania siasa ni nini. Unapokuwa jukwaani wewe ni mwanasiasa na ukirudi nyumbani wewe ni baba, mama au mtoto si mwanasiasa.Jioni unawakuta wako na Mbatia wanakula kitimoto
Wachagga wako smart sana
Ni zipi hizo barabara za vitongoji alizojenga zaidi ya zile za kwenda Iwa na Kisomachi ambako kote ni nyumbani kwake?Mbatia alukuwa na kampeni ya jenga barabara ya vitongoji huko vunjo. Sasa hutu ataenda kuanza upya na kipi au kuendeleza hii, au...
Dunia kote ndio hivyo;lazima ufanye kazi na ambae mnaelewana,inawezekana vipi kufanya kazi na kiumbe kila siku ni kupinga unayoyafanya ?..anawatuhumu wenzake wabunge wa upinzani kwamba walikuwa wanagomea au hawahudhurii vikao vya BAJETI.
..pia amezungumzia dhana ya " mafiga matatu " inayohalalisha jimbo kutengwa na chama tawala ikiwa litachagua mbunge toka upinzani.
..Yaani kwa mtizamo Dr.Kimei majimbo yaliyochagua Ccm yana haki zaidi kulinganisha na yaliyochagua upinzani.
Kasusura!Hebu Kimei, fanyia Vunjo ulichokifanya CRDB.
Huyo ni mbunge viti maalum vya jpm 2020..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
Hivi naye alipita bila kupingwa au Kwa wizi wa kura?Kimei alijivunjia heshima sana kuja kwenye hizi siasa uchwara za propaganda
Angeweza kwenda kwenye taasisi binafsi au kushirikiana ba serikali kwa namna nyingine kuleta maendeleo kuliko kuingia moja kwa moja kwenye hizi siasa chafu
Dunia kote ndio hivyo;lazima ufanye kazi na ambae mnaelewana,inawezekana vipi kufanya kazi na kiumbe kila siku ni kupinga unayoyafanya ?
..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.
Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk maelezo yake. Naamini haya anayozungumza hayajatoka moyoni kwake na amebabaika sana wakati akitoa kauli hizo.
Huyu PhD holder naye ni chawa type, anachokitafuta atakipataDkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo.