Ukimuona mtu kaamua kuw mkweli kiasi hiki ujue kuna jambo.
Na kwa fikra zangu nadhani hana uhakika wa kupita kura za maoni.
Hawa watu hawajahi kuwa na akili iwapo wamehakikishiwa maslahi yao.
Obviously....umezungumza jambo ambalo limenifikirisha.
..je, una maanisha kwamba viongozi wasipokuwa na uhakika na nafasi zao wanakuwa wakweli zaidi?
Samahani sna naomba Radhi km ntakukwaza unafikiri Kuna Mwana CCM yyote mwenyewe kuitakia kheri nchi yetu. Unafikiri vijana wa Lumumba wanamakosa kweli wanapoita Nyumbu...Kitwanga alindwe
Kitwanga anajua sarakasi alizofanyiwa , kaamua kusema ukweli..umezungumza jambo ambalo limenifikirisha.
..je, una maanisha kwamba viongozi wasipokuwa na uhakika na nafasi zao wanakuwa wakweli zaidi?
nyoosha maelezo yako , umenichanganya kidogo , bado sijajua unataka jibu lipi ? jifikirishe kidogo kuhusu sumu ya MangulaSamahani sna naomba Radhi km ntakukwaza unafikiri Kuna Mwana CCM yyote mwenyewe kuitakia kheri nchi yetu. Unafikiri vijana wa Lumumba wanamakosa kweli wanapoita Nyumbu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikueleze kitu ambacho kipo moyoni mwangu siungi mkono dhuruma inayofanywa na CCM kwenye nchi hii ila sioni Nia yenu ya kutaka kututoa kwenye dhuruma hii ikiwa kila siku mnarukia jambo jipya hv mtu mwenye akili timamu unaweza kweli kumuunga mkono kitwanga baada kukosa fursa ya kupiga uko ndio anajifanya mtetezi wetu...nyoosha maelezo yako , umenichanganya kidogo , bado sijajua unataka jibu lipi ? jifikirishe kidogo kuhusu sumu ya Mangula
mkuu hukunisoma kwa jicho la 3 , hivi tunavyouliza kuhusu sumu ya Mangula unadhani tunaamini kwamba aliwahi kuitakia heri nchi hii hata mara moja ?Ngoja nikueleze kitu ambacho kipo moyoni mwangu siungi mkono dhuruma inayofanywa na CCM kwenye nchi hii ila sioni Nia yenu ya kutaka kututoa kwenye dhuruma hii ikiwa kila siku mnarukia jambo jipya hv mtu mwenye akili timamu unaweza kweli kumuunga mkono kitwanga baada kukosa fursa ya kupiga uko ndio anajifanya mtetezi wetu... View attachment 1432933
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kwangu naona mmekuwa watu wa kurukia mambo narudia tna jaribuni kutafuta kitabu cha aliyekuwa katibu mkuu wenu lipo la kujifunza...mkuu hukunisoma kwa jicho la 3 , hivi tunavyouliza kuhusu sumu ya Mangula unadhani tunaamini kwamba aliwahi kuitakia heri nchi hii hata mara moja ?
Kaibu mkuu wizara hii ni bure kabisa.Watafukuzwa wawili na mchezo utaendelea kama kawaida
Africa kubadilika ni ndoto za mchana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kaibu mkuu wizara hii ni bure kabisa.
Ukurasa wa Slaa ndani ya Chadema umefungwa rasmiMie kwangu naona mmekuwa watu wa kurukia mambo narudia tna jaribuni kutafuta kitabu cha aliyekuwa katibu mkuu wenu lipo la kujifunza...View attachment 1432934
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana prof Kitila Mkumbo ni mtu makini sana.Kaibu mkuu wizara hii ni bure kabisa.
Sina tatizo juu ilo kikubwa mjifunze au tu jifunze kuheshim pia mawazo ya wengine km nyie mnavyosema ukurasa Dr Slaa umefungwa rasmi basi hao wenye akili nyingi km nyie pia ndio wanasema awapangiwi tuheshim pia maamuzi yao kwangu binafsi hkn mtu mweusi mwenye uwezo kutawala Dawa ya Afrika yote ni kurudisha MAGAVANA tu sie watu weusi kazi zetu ni ukarani tu. Si CHADEMA SI CCM SIO CUF SIO ACT...Ukurasa wa Slaa ndani ya Chadema umefungwa rasmi
Ila ni kwanini most of CCM huwa hawana huruma na Watanzania wenzaoSamahani sna naomba Radhi km ntakukwaza unafikiri Kuna Mwana CCM yyote mwenyewe kuitakia kheri nchi yetu. Unafikiri vijana wa Lumumba wanamakosa kweli wanapoita Nyumbu...
Sent using Jamii Forums mobile app