Charles Kitwanga apinga bajeti ya Wizara ya Maji akituhumu ufisadi mkubwa kuliko wa Lugumi. Pia ametishia kupinga Bajeti Kuu

Msikilize hoja yake hapo chini.

Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia.

Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.

Watamsingizia alikuwa amelewa.
 
Tunaambiwa sasa hivi Waziri na Katibu mkuu wako pamoja na wakurugenzi wao kupiga pesa za wizara ya maji. Ni mlolongo wa ufisadi. Mawaziri wote waliopita ni historia hiyo hiyo! Tuliwasikia akina Lowasa, akina Mwandosya, hadi huyu wa sasa, mtindo ni huo huo tu.

Kuna mkurugenzi mmoja wa mijini alipoona mambo makubwa akakimbilia AfDB. Nasikia ndiye aliyeharibu mradi wa Chalinze pamoja na ule wa kusini ambao rais alitoa amri mkandarasi apokonywe passport. Ukweli unabaki kwamba wizi wa wizara hii unafanywa kwa ushirika ndani ya wizara.
 
Ukimuona mtu kaamua kuwa mkweli kiasi hiki ujue kuna jambo.

Na kwa fikra zangu nadhani hana uhakika wa kupita kura za maoni.

Hawa watu hawajahi kuwa na akili iwapo wamehakikishiwa maslahi yao.
Haina shida. Ukiona vibaka wanatajana, hayo ndo mafanikio. Ukikataa kwa kuwa anayekwambia ni kibaka, nitakwambia neno moja tu, "PUMBAVU!"
 
Msikilize hoja yake hapo chini.

Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia.

Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.

Hii inadhihirisha namna gani wabunge wa Ccm hawataki ufisadi. Hata scandal kama Escrow na Epa walikuwa wanaziibua wao ila kwa njia mbadala.
 
Tunaambiwa sasa hivi Waziri na Katibu mkuu wako pamoja na wakurugenzi wao kupiga pesa za wizara ya maji. Ni mlolongo wa ufisadi. Mawaziri wote waliopita ni historia hiyo hiyo! Tuliwasikia akina Lowasa, akina Mwandosya, hadi huyu wa sasa, mtindo ni huo huo tu.

Kuna mkurugenzi mmoja wa mijini alipoona mambo makubwa akakimbilia AfDB. Nasikia ndiye aliyeharibu mradi wa Chalinze pamoja na ule wa kusini ambao rais alitoa amri mkandarasi apokonywe passport. Ukweli unabaki kwamba wizi wa wizara hii unafanywa kwa ushirika ndani ya wizara.
Kwa hiyo Kitila na Makame wanajua kila kitu? Basi mkuu wa nchi aagize takukuru ianze kuchunguza.
 
Msikilize hoja yake hapo chini.

Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia.

Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.

Sidhani kama ukisoma between the line alikuwa anamaanisha alichokisema humo.

Viongozi wetu hawa kama maslahi yao yako in jeopardy wanakuwa wakweli kupitiliza.

Tusubiri muda utasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom