jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Sasa tukiwa tunanunuwa Vyombo vipya tu na mafundi wetu wale wakurekebisha nao watakula wapi!!??Imefika wakati sasa Tanzania tuachane na REMANUFACTURING.
Chombo kikizeeka, iwe meli, pantoni ama kichwa cha treni kiwe scrapped na nguvu tuiwekeze kwenye kununua vyombo vipya.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app