Sasa tukiwa tunanunuwa Vyombo vipya tu na mafundi wetu wale wakurekebisha nao watakula wapi!!??Imefika wakati sasa Tanzania tuachane na REMANUFACTURING.
Chombo kikizeeka, iwe meli, pantoni ama kichwa cha treni kiwe scrapped na nguvu tuiwekeze kwenye kununua vyombo vipya.
Mkuu kuna madaraja na madarasa ya mabilions ukiona utacheka ufe..Kitwanga amekuwa moto sana. Ana hoji mambo ambayo tuliotegemea kuhoji wamelamba asali hawahoji!
Hili la kivuko ni kashfa ya aibu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Walitaka 10b wakati Kenya ni 7b,3b zimeokolewaMafundi wa TEMESA na wakandarasi waliopo nchini hawana akili ya kufanya maintenance ya hicho kivuko cha kizamani? nakubaliana na Kitwanga kwenye hili.....
Tenda ilikuwa ipo wazi mbona hao SONGORO MARINE wao bei yao waliweka BILLION 11 wakati bei elekeze ilatakiwa isizidi BILLION 7+ ...hizi kampuni za KITANZANIA huwa ni longolongo hasa .Amechukia kwanini hawakupewa wale sangara? Hii inathibitisha walikula sana enzi yao, wawe wapole tu sasa, wao ndio waliiba sana tena sanaaaaa
Wezi wakubwa, mirija imekata na kufungwa na kufungwa wanatapatapa
Mafundi wa TEMESA na wakandarasi waliopo nchini hawana akili ya kufanya maintenance ya hicho kivuko cha kizamani? nakubaliana na Kitwanga kwenye hili.....
Jamaa kaamua kuipambania nchi...Aisee,jamaa kaibuka upya,ila ana hoja ya msingi
Wangeendelea na bargaining Hadi wakakubaliana.Tenda ilikuwa ipo wazi mbona hao SONGORO MARINE wao bei yao waliweka BILLION 11 wakati bei elekeze ilatakiwa isizidi BILLION 7+ ...hizi kampuni za KITANZANIA huwa ni longolongo hasa .
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Watu wote waamke na huu utawala wa hovyoHata kama alifanya hayo makosa, sasa wewe una ona sawa kila mtu aibe kwa ajili ya yeye aliiba?
Yeye aliadhibiwa vikali basi na huyo aliye nyuma ya huu mpango naye aadhibiwe. That’s all!
Watu wengine wak irrelevant kabisa... Yani huyo mwandishi anayemfuata huyu jamaa leo ana nini behind..ana interest gani na kitwanga... Nonsense..Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.
“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na suala la kuipeleka Kenya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze Tanzania ili wapate kazi”
Chanzo: Dar24
Nadhani asishambuliwe mtoa hoja, bali ishambuliwe hoja yake.Kwa hiyo kasahau yule Twiga aliechorwa kwenye ndege yetu
By Mzalendo
Service na REMANUFACTURING ni vitu viwili tofauti.Sasa tukiwa tunanunuwa Vyombo vipya tu na mafundi wetu wale wakurekebisha nao watakula wapi!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mambo aliyaongea huyu kitwanga yataishi milele na itakuwa legacy yake ya kweli, na amaejizuia sana sana kukiuka kiapo na viapo vyake, he tried a lot to refrain from provocative and hopeless journalist I hope huyo journalist ni coward na unqualified to be a journalistWaziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.
“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na suala la kuipeleka Kenya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze Tanzania ili wapate kazi”
Chanzo: Dar24
Unafananisha 10b itakayobaki nchini na 7b utakayompelekea nyang'au.......tumia akili kidogo tu.Walitaka 10b wakati Kenya ni 7b,3b zimeokolewa,zitafaa walau kwa matundu ya vyoo shuleni wanao wanye mazingira mazuri