Charlie sheen is HIV positive

Charlie sheen is HIV positive

Khaaaaaa.... Kingredha kgumu kweli kweli

wacha tu tubaki uswazi

Winning ni msemo wa charlie .Charlie sheen alivyokuwa NATUMIA drugs anapanda gorifani na wanawake 4 aliokuwa anaishi nae.unakurupuka tu
 
Maintain your immune system by food, body exercises and whatever...HIV does not cause AIDS...You may live with your HIV and you will not get AIDS forever..secure your immune and T-cells.

Charlie sheen atakufa mapema maana yeye ni drug na wanawake .winning
 
What's the big deal? Being HIV+ is not a death sentence. Kumbe stigma bado ipo sana tu mimi nilidhani watu wameelimika siku hizi

Bid deal ame date wanawake wengi mnooo
 
Mi sishangai, coz wangsap bongo wanaambukizana hatushangai ase...
 
Kim K angekua nao atakuwa amejua kupitia Mimba.

Sio lazima kila aliyelala nae aipate.
 
Lakini hizi habari bado hazijathibitishwa. Tusubiri tumsikie mwenyewe atasema nini kwani Leo ndio ataongea na media. Wambea mshaongea anao, je vipimo mmepata wapi? Inawezekana ikawa different.
 
Khaaaaaa.... Kingredha kgumu kweli kweli

wacha tu tubaki uswazi

Got it 1447744734770.jpg
 
Usikurupuke Winning ni neno linalotumiwa na Charlie mwenyewe.... Sio kila kitu unajifanya unajua mkuu

Huyo jamaa ndio zake anajifanya anajua saana kumbe hana lolote na kiingereza chake cha kuuzia vinyago Mwenge
 
Back
Top Bottom