- Thread starter
- #21
Khaaaaaa.... Kingredha kgumu kweli kweli
wacha tu tubaki uswazi
Winning ni msemo wa charlie .Charlie sheen alivyokuwa NATUMIA drugs anapanda gorifani na wanawake 4 aliokuwa anaishi nae.unakurupuka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaaa.... Kingredha kgumu kweli kweli
wacha tu tubaki uswazi
mshamba babako... sio kila mtu anaishi US au yuko informed na hao celebrities walevi
Maintain your immune system by food, body exercises and whatever...HIV does not cause AIDS...You may live with your HIV and you will not get AIDS forever..secure your immune and T-cells.
What's the big deal? Being HIV+ is not a death sentence. Kumbe stigma bado ipo sana tu mimi nilidhani watu wameelimika siku hizi
Mambo ya dunia hayo
bid deal ame date wanawake wengi mnooo
Yaani kila week Ana girlfriend mpya .Halafu aliwaficha watu Kama anao
wewe unataka ku comment nawakati hata hujawahi msikia charlie .unakaa wapi ?
Khaaaaaa.... Kingredha kgumu kweli kweli
wacha tu tubaki uswazi
Khaaaaaa.... Kingredha kgumu kweli kweli
wacha tu tubaki uswazi
Usikurupuke Winning ni neno linalotumiwa na Charlie mwenyewe.... Sio kila kitu unajifanya unajua mkuu
Furesh tu!..hata kwetu uswazi Waridi alisema anao tangu kitambo hiyo!
Mi sishangai, coz wangsap bongo wanaambukizana hatushangai ase...