Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
-
- #41
Umemaliza mkuu.... inawezekana hata Simba au Yanga zote sio sahihi labda sehemu sahihi ilikuwa Azam vipi hapo????.....Ni suala la kumpa muda na sio kukariri kila mchezaji fulani wa nchini akienda Simba au Yanga atafeli hapanaUamuzi wowote saa nyingine hauwezi kuwa sahihi Kwa kila mtu. Hata mapenzi Kwa timu Fulani nayo siyo ya kuyapuuza pia. Hata ulaya ambako ndo reference yetu Kuna wakati mchezaji anakuwa tayari hata mshahara upungue Ili mradi tu akacheze timu anayoitaka Kwa sababu zake mwenyewe.
Hii ya Yanga kumpa 6m hata mimi sikubaliani nayo.Mbona kama ni chai hivi, yanga watoe milioni 6 mchezaji ndio kwanza anatoka mtibwa..
Ila angeenda huko huko utopoloni akawa anakunja m 6 kwa mwezi, huku akipambana kupenya kikosi cha kwanza,
Hata simba nafasi ni finyu kuna wachezaji kibao wanasugua.
Angetoa sababu za kimichezo, mfano labda simba wamemuonesha anavyohitajika, labda kocha ndio kamtaka kampa plans zake, kamuhakikishia namba na vile atakavyotumika. La sivyo hata simba akifanya ujinga atasugua.
Heri angekunja hiyo 6m kuliko kwenda kukunja hiyo 2m while hajajua Simba itakwenda kumsajili nani wa kuchuana nae ktk hiyo namba.Amefanya jambo zuri tu. Pale simba wachezaji wengi ni vibabu. Kwa hiyo ni rahisi kwake kufikiriwa. Yanga ilipofikia kwa sasa, inahitaji mchezaji mwenye kipaji kikubwa zaidi ya hicho cha kwake.
Twende na point ya tatu Simba hii ni Bora!?? Inahitaji maboresho au hayahitajiki!?? Kwa Maoni yako wachezaji wangapi wanahitajika na ni WA sehemu gani!?? Walisajiliwa 11 msimu uliopita na Hawachezi wote hata mechi za kawaida kabisaaaa Hawachezi ....Hii ni propaganda tu. Mwandishi anatakuuamisha umma kuwa;
1. Kilabu ya simba sc inahitaji wachezaji hata huyo eti akija anauhakika kuwa na nafasi ya kucheza ila kule yanga hatopata nafsi, Kutokana na ubora wa kikosi
2. Simba sc haina fedha: inalipa wachezaji mshahara Mdogo mfano huyo mchezaji mshahara ml 2. kule yanga kuna hela,mshahara ml 6.
3.Simba sc ni mbovu kiasi cha kuhitaji wachezaji sita kwenye usajili dirisha dogo.