Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Ilijulikana kidogo.....manara aliipaisha zaidi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Siyo kweli,Simba ni maarufu kabla Manara hajazaliwa, mwaka 1974 Simba imefika nusu fainali klabu bingwa afrika na ikafahamika Afrika nzima hapo Manara hajazaliwa.
Na mafanikio kadhaa ambayo yaliipa umaarufu Simba,acheni kumkuza huyo mtu wenu bure yeye ndiyo Simba imempa umaarufu.
 
Ni mbaya mno mkamkashifu kutokana na hali yake ya ulemavu
Angemtania tu bila kuhusisha ulemavu wake
Dogo acheze mpira sio mzungumzaji mzuri, aachane na mike acheze mpira

Kila akiongea anaharibu
Kwenye korti of law hakuna kosa. Kwani yeyot anayeitwa Mzungu ni Manara?
 
Huna Lolote Zaidi Ya Njaa
Kwani Ni Kesi Mpaka Ukatae?
Mkuu ...tatizo humu hatujuani .....

Naweza finance ukoo wako ...Hadi ukoo wa mkeo .......

Siku ukinijua utanipigia goti ....kuomba kuokota (in mwijaku's voice)

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yaani hyo zungu ni fitna na mchonganishi halafu alienda hija ile siku anawatukana askari magereza pale uwanjani niliona kabisa kumbe jamaa akivuta mibangi na sigara maneno yanamtoka tu hata ile kumtukana karia pale arusha alijitia huruma kaonewa kama mtu anawatukana askari ashindwe kumtukana karia kweli jamaa ni fitna na mchonganishi mkubwa sana.
 
Yule ni mtoto wa mjini ...[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…