Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
We UTOPOLO ni wapi alikwambia mzungu anaemsema ni manara na sio said? Mwisho kabisa angalia wapi umejikwaa na sio ulipoangukia.
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Manara ni Mzungu???
 
Attachments

  • Screenshot_20250213-221634.png
    Screenshot_20250213-221634.png
    849.6 KB · Views: 1
Sahihi,Simba walikuwa wanamwona mdogo tu ndio maana hata yeye alikuwa analalamika analipwa laki 7 tu
Kwani kasema analipwa na matajiri au na yanga kama angekuwa analipwa na GSM angesema pale GSM analipwa pesa nyingi?

Pia kama analipwa na matajiri wa yanga pesa nyingi kuliko yoyote basi hao madoni wameona manara ni mkubwa kuliko yanga Ivo wameona wampe pesa ndefu ili yanga itoboe
 
Chasambi alipojifunga mlimshobokea,kafunga goli tena mnalilia lia
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe mchepuko wa manara una shida. Haji ndo mzungu? Yaani anaendaje kuomba msamaha kwa kumpa goli mzungu?mmemuuliza chasambi mzungu yupi?acheni ufalah nyie madogo
 
Manara , mwenyewe kasemaje! Kuna watu weupe wengi tu wanaitwa Zungu n hawana shida!
Ila Mzee Manara naye anazidi! Mbona yeye enzi zile alikuwa anambagazq Mwakalebela na tumbo lake!🤭
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Haji Manara si mtu wa kutiliwa maanani wala kuombwa msamaha kwani yeye mwenyewe anajiitaga Mwarab mara mzungu koko mara half cast wa Kiha, kwa kifupi hata yeye mwenyewe hajijuwi ni wa race gani. Anaombwa msamaha kwa lipi sasa? Kwanza aseme mwenyewe anataka aitwe nani kuanzia leo hii.
 
Alisema mzungu
Akaulizwa mzungu Gani?
Akamtaja Haji
Haji gani? Mambo ya mahamakani mazito sana ,Haji na Haji Manara ni watu wawili tofauti kwenye mahakama.

Haji Manara siyo Mzungu pia hata kama alisema maana anaweza kumuuliza kwani Wewe ni Mzungu? Nilimaanisha Haji manara mzungu ambaye siyo wewe ,wewe ni mwafrica Mtanzania hauna asili ya Mzungu.
 
Tuna mfanyakaz mwenzetu albino tunamwita mzungu basi anafurahi na sisi tunafurahi pamoja naye, maisha yanakwenda.
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umeanza kushabikia mpira juzi? Eti manara kaifanya Simba ijulikane ndani na nje. Simba na Yanga zinajulikana ndani na nje muda mrefu tu. Acheni kuwapa watu unuhimu wasiokuwa nao nyie makolo.
 
Back
Top Bottom