Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Maybe Yanga Kwa vile m .Wana matajiri wengi wanamlipa in personal

But kwenye payroll hayumo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani kasema analipwa na matajiri au na yanga kama angekuwa analipwa na GSM angesema pale GSM analipwa pesa nyingi?

Pia kama analipwa na matajiri wa yanga pesa nyingi kuliko yoyote basi hao madoni wameona manara ni mkubwa kuliko yanga Ivo wameona wampe pesa ndefu ili yanga itoboe
 
Kimsingi, mleta mada ndiye anayemuita manara kuwa ni mzungu. Yaani kama suala ni kashfa, basi mleta mada ndie anayemkashfu manara. Chasambi anawajibika kwa alichokisema na sio kwa namna alichokisema kinavyotafsiriwa.

Siku nyingine Acha vingine vipite kimyakimya, usichochee. Hapa wewe ndio unasambaza habari kwa ambao hawakuisikia awali iliposemwa na Chasambi (kama ni kweli alisema). Mbaya zaidi wewe umeenda mbele kwa kutoa tafsiri yako kuhusiana na kauli ya Chasambi.
Sahihi kabisa.
 
Chasambi amenifurahisha sana yule mzungu sio wa kumkalia kimya tena angetafuta na maneno mengine yenye kukera amuongezee au kumtaja kabisa kwa majina yake
 
Revenge haitakiw

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ila wewe ni CHONGANISHI ANDAMIZI. Muhysika, waalaa hajajali!
AnyScanner_02_13_2025%200.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani sio mzungu?
 
Hilo zee nalo lijiheshimu . Kitendo lilichokifanya kwa huyo dogo siyo kizuri kwani kilikuwa nichakumchonganisha na timu yake pamoja na Mashabik wake.

Zee huwa lina mihemko na mikurupuko isiyo na Maana.
 
Acha kumlisha maneno dogo,hakuna sehemu amemtaja Haji,sikiliza vizuri,amesema "simtaji" lakini nampa zawadi mzungu.Manara alipotaka kumtoa mchezoni dogo mbona haukumuonya kwa upuuzi wake huo?
 
Attachments

  • _Goli langu nalitoa zawadi kwa _Mzungu_ najua watu washanielewa_ na aliahidi kesho ataniletea ...mp4
    5.3 MB
KITENDO SI CHA KIUNGWANA

Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.

Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.

Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu

@sanitizerrtz

Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Manara ni makubwa gani ameifanyia Simba , yeye alikuwa mwajiriwa aliyekuwa analipwa mishahara.
 
Back
Top Bottom