Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #101
Yaah kwasababu we ni Mbu mbu MbuKwa hiyo mwafrika mweupe kuitwa mzungu au Zungu ni kosa?
Mbona mimi ni mweusi tii kama mkaa au lami, lakini watu wakiniita blackie au mpingo nafurahi tu?
Kwa maoni yangu Chasambi hajafanya kosa lolote kutakiwa aombe msamaha.
Acha kuyatafutia maneno harmless maana mbaya.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app